Halima Mdee amtafutia Lulu wakili

Kuna kisa cha Bush na mfungwa.Mfungwa akikamatwa na makosa yaliyomfikishia kuhukumiwa kifo.kwa muda aliokuwa gerezani akaokoka na kuwa mtu mwema aliyeweza badili wengi magerezani na nje.Ilipofika kwa Bush kuweka sahihi ktk Hukumu watu wa haki za binadamu na taasisi nyingine zikaanza hesabu mema na mfano mzuri wa jamaa km kigezo cha kumtaka Bush amsamehe jamaa. Bush akajaribu fikiria ni wapi sheria inaruhusu hayo au kuchagua mtu wa kukwepa sheria,hakuona.Ikabidi apitishe hukumu na watu waengi walimlaumu sana.
Huyu Binti ajilaumu kwa kutokuwa shule, kwani umri wa kuolewa kisheria anao ,pengine shule tuu ndio ingenfanya aonekane kutumiwa na marehemu au pengine asingekuwa kwa huyo jamaa kwani asingekuwa huru hivyo.Ila km alimsukuma na kumsababishia kifo(hata km kifo kilikuwa tayari mlangoni) hakuna njia halali ya kumuepusha, pengine ihamie ktk muua bila kukusudia.Si vyema sana huruma ifanye watu wepesi kuzuia sheria kwa baadhi ya watu.

Bush yupi unayemzungumzia? Raisi wa zamani wa Marekani? Kama ni hivyo, yupi? Bush 41 au Bush 43?
 
mdee anachemka....

mtoto wa babu seya alikaa segerea akiwa na miaka 17 tu... umri isiwe kigezo cha haki kutotendeka plus kuna ushahidi wa interview mbalimbali anaukana udogo hadharani na kusema she is 18 .. tuacheni mahakama iamue..
 
Alichochemka Halima ni kipi?

Na hiyo ya umri wa Lulu kitakacho-matter ni cheti chake cha kuzaliwa tu na siyo alichosema kwenye tv programs au kilichoandikwa kwenye magazeti ya udaku kuhusu huo umri wake.
 
Nakupongeza Mh Mdee fanya lililo jema Lulu ni bint mdogo (minor). Amekuwa akirubuniwa na mabazazi kwa urembo wake. She's only 17! Wabongo wanausemi wa kijinga mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzako.

Go go go Mh Mdee
 
Nakupongeza Mh Mdee fanya lililo jema Lulu ni bint mdogo (minor). Amekuwa akitubuniwa na mabazazi kwa urembo wake. She's only 17! Wabongo wanausemi wa kijinga mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzako.

Go go go Mh Mdee

Aisee tuheshimiane ndugu. Sitaki ubaya na mtu mimi.
 
Watanzania watu wa ajabu sana, yaani mnaanza kumuhuku huyu binti wakati mahakama haijamhukumu! Cjaona kosa la mh. Mdee, anachotaka ni kumsaidia haki ya kutetewa si kosa kisheria. Kanumba tulimpenda lakini tusiweke ushabiki kwenye mambo ya kisheria.
 
pamoja kuwa wanatamani huyu binti aendelezwe, wasisahau haki ya familia iliyopotelewa na mpendwa wao.Nao wana haki ya kuona sheria inachukua mkondo wake.
 
Lulu ni Mtoto kabisaaa, ukubwa kaupata kufuatana na mazingira ya kiswahili tuliyo nayo, majitu yote aliyotembea nayo yanatakiwa yafunguliwe mashitaka kwani yametembea na mwanafunzi chini ya umri ndogo. namuunga mkono Mdee kuwa huyu mtoto atendewe haki, kwani yaliyomtokea ni bahati mbaya sana , hapa TZ wapo watoto wengi waliojiingiza biashara ya ngono wakiwa na umri ndogo kwa sababu tu ya umaskini, na watoto hawa nikama wamechanganyikiwa kwa kuwa HAWAJAWAHI kupenda kwani walilazimika kufanya matendo machafu ili wajikimu, utakuta watu wenye nyazifa mbali mbali na vyeo vya juu, wako mitaani kutafuta watoto wadogo wawarubuni ili watembee nao. Huyu mtoto baada ya kuingi kwenye sanaa hii (Mtambo wa kuzalisha malaya) alianza kurubuniwa na wasanii wenzake wakimwangaisha huku na kule , yaani wanauza naye sura kwani mtoto huyu amejariwa umbile, hata hivyo mchezo mchafu umemkuza haraka, angalia saa za kulala na kufikilia shule ili ajiandae na masomo yeye anaangaika na simu kutafuta pedezee wapenda ngono ili a do nao naye aambulia ka gari kama wengine. basi ifikie hatua kwamba serikali ipige marufuku kuwatumia watoto kwenye maigizo kwani wanaigiza shida ambazo hawajakutana nazo. Angalia watoto wengi wanaigiza uchawi!!!! je tuamini kuwa kuna uchawi, ndio maana hata kwenye msiba walimwonea bibi wa watu eti mchawi kumbe kachoka alikuwa anajisetri tu.
Kweli mto mada inabidi afunge domo kwani anajua kuwa Lulu ni mtoto aliyekosa malezi bora ya Baba na Mama, mtoto huyu namuhasa ajiendeleze kimasomo kama alivyo HALIMA MDEE aepuke kutumiwa na watu kwani usanii una mwisho. Kama wasanii hawaamini yu wapi Mr. N. wa TAKEU, yu wapi Msanii SIIINTA, ata huko Kongo KANDA bongo mani?
 
mleta mada hapa hatuamini tetesi tunaongelea ukweli, kama kweli tupe source, hata hivyo hajafanya vibaya kumtafutia wakili, kupenda mtu kusikufanye mabaya yake uyaweke pembeni na kukumbatia upande mwingine.
Hili ni fundisho kwa wapenda ngono wote, kwamba ukifika umri wa kuoa oa.
 
Mdee aachane na hili la Lulu.

Ashughulikie uwekaji wa daraja permanent pale Makao Makuu JKT Mlalakua, Mikocheni. Itapunguza foleni na tutamkumbuka kwa hilo 2015.
 
Halima Mdee yuko sahihi sana. Hivi kwa nini mwanzisha thread unataka sana Lulu akomolewe?
Mie namtetea sana Lulu kwa kuwa naamini kifo cha SK kimesababishwa na ufreeamason wake taka usitake ndo source ya kifo chake na Skip
Lulu ametumika kama scapegoat (mtu wa kulaumiwa au chambo) ili secret society izidi kuwa siri na kufanikiwa kwa hili ndo kama hivi jamii inamlaumu Lulu.
Andy Chande (Mkuu wa frimasons East Africa) amenuliwa akitaja orodha ya members wakubwa hapa Tz akiwemo JK, Ms. Clean na aliwataja mastaa kv Marehemu SK, AY, mr. blue n.k na skip pia.

Kwa mtazamo wangu naamini Mh. Mdee amegundua Lulu hakuwepo kwa SK kwa nia ya kuua hayo ni matokeo ya kuwa scapegoat kitu ambacho hata Lulu angekuwa na miaka 30 au 12 kama karata iliangukia kwake alikuwa hakwepi msala huu hata angekuwa virgin girl asimgekwepa.
Pls ieleweke anatakiwa kusaidiwa kama unaendelea kumkandia Lulu omba yasije tokea kwako na pia omba usizae.
LULU NI SCAPEGOAT TU.
 
Last week kuna watoto wa miaka 11 wamehukumiwa kifungo cha kwenda jela kwa kumuua mtoto mwenzao
Kwani umri mdogo ndio kibali cha kuua na kutokutwa na hatia? Ok kumbe ukiwa under 18 unaweza ua na kuondoka scott free.
 
Hivi kuna shaidi aliyeona huyo binti akimsukuma kanumba? Watanzania woote ni mambumbumbu, badala ya kudai uchunguzi wa kina ili kujua ukweli wenyewe tayari wameisha hukumu tena kwa kigezo cha mapenzi yao kwa marehemu. Police hawajafanya uchunguzi wowote wa kitaaluma, crime scene palijaa watu, sidhani kuwa police walichukua forensic evidence cha ajabu hadi raisi wa nchi pia alienda kwenye crime scene kuchangia kuvuruga ushaidi, sasa mtuhumiwa hatia yake ni kuwa na marehemu wakati anakufa. Hii kesi naomba isimamiwe na watu wenye akili ili umbumbumbu wa mitanzania uwe wazi, mitongotongo iwatoke na liwe fundisho kwa faida ya vizazi vya baadae. This country is sick!!!!
 
Halima Mdee yuko sahihi sana. Hivi kwa nini mwanzisha thread unataka sana Lulu akomolewe?
Mie namtetea sana Lulu kwa kuwa naamini kifo cha SK kimesababishwa na ufreeamason wake taka usitake ndo source ya kifo chake na Skip
Lulu ametumika kama scapegoat (mtu wa kulaumiwa au chambo) ili secret society izidi kuwa siri na kufanikiwa kwa hili ndo kama hivi jamii inamlaumu Lulu.
Andy Chande (Mkuu wa frimasons East Africa) amenuliwa akitaja orodha ya members wakubwa hapa Tz akiwemo JK, Ms. Clean na aliwataja mastaa kv Marehemu SK, AY, mr. blue n.k na skip pia.

Kwa mtazamo wangu naamini Mh. Mdee amegundua Lulu hakuwepo kwa SK kwa nia ya kuua hayo ni matokeo ya kuwa scapegoat kitu ambacho hata Lulu angekuwa na miaka 30 au 12 kama karata iliangukia kwake alikuwa hakwepi msala huu hata angekuwa virgin girl asimgekwepa.
Pls ieleweke anatakiwa kusaidiwa kama unaendelea kumkandia Lulu omba yasije tokea kwako na pia omba usizae.
LULU NI SCAPEGOAT TU.

iwe SCAPEGOAT,FRIMASONS,MIAKA 17.hivyo vyote havitaweza kuzuia mahakama kufanya kazi yake,sheria ni msumeno hukata pande zote.

kama hana hatia ama anahatia vyote hivyo haviwezi kuongelewa na wanaharakati,Mdee,wanaJF.Ni mahakama inayofuata sheria,taratibu na kanuni zake.

siko upande wa kanumba wala lulu,nachokisema tuache sheria ifanye kazi yake
 
Miaka 17 ni mtoto, na kama ni mtoto basi alirubuniwa sio kwa chips kuku bali kwa kupewa nafasi ya kuwa maarufu katika filamu. Lulu aliingi katika utumwa wa mapenzi, kwamba lazima atoe penzi ili apate kitu. Pengine katika harakati zake za kutaka kujikomboa ndio kikatokea kifo.
 
Halima Mdee (MP),
hana makosa hakujua pilika pilika za lulu,
alijua ni binti wa kawaida tu.
 
Mdee aachane na hili la Lulu.

Ashughulikie uwekaji wa daraja permanent pale Makao Makuu JKT Mlalakua, Mikocheni. Itapunguza foleni na tutamkumbuka kwa hilo 2015.

Hili ndilo la msingi na lenye maslahi kwa taifa, aachane na kesi za uzinzi zisizo na tija kwa taifa. Asipoteze muda wa sisi tuliomchagua
 
lulu ni mtoto, umerudia tena eti umeona cheti cha kuzaliwa, mara anategemewa na mama yake. mh! unazidi kuniacha hoi. Unajua wazi huyu binti keshapanda kizimbani kwa charge ya murder, wewe ni lawyer, unajua rule of law ni nini. unapigania maadili majukwaani kila siku, hayo maadili yataanzia hewani? binafsi, namuonea sana huruma huyu mtoto Elizabeti Michael ila nina hamu ya kujua huyu BINTI Lulu anahusikaje au hahusiki na kifo cha kanumba. Unataka utusahaulishe vimbwanga vya binti Lulu kirahisi hivi? mtoto mdogo usiku mkubwa anakuwa kwa mwanaume? Acha sheria ichukue mkondo wake. unatamba kuwa out of 40 ni watu 10 tu wanaokupinga, naomba nikukumbushe mageuzi ya vyama vingi, majority walipenda chama kimoja kiendelee(mangumbalo) lkn wenye akili wachache walitaka vyama vingi. Hii itakula kwako, mi napost 4 the 2nd time tatizo lenu politians huwa mnafikiria mnajua kila kitu encyclopedic perception. pole nafunga domo langu, tukiwa hai nitakukumbusha.

Mimi nilikwisha sema kuwa Halima Mdee sio mzuri sana kwenye sheria kwani kila mwaka amekuwa akinywa 'supu' pale UDSM wakati akifanya degree ya kwanza ya sheria. Kura yangu ya kugombea ubunge nilimpatia kwa sababu naipenda Chadema na wala si yeye kutokana na capacity yake ila ni capacity ya Chadema.
 
Alichochemka Halima ni kipi?

Na hiyo ya umri wa Lulu kitakacho-matter ni cheti chake cha kuzaliwa tu na siyo alichosema kwenye tv programs au kilichoandikwa kwenye magazeti ya udaku kuhusu huo umri wake.

If someone told you he/she had one hundred million shillings in his/her bank account but his/her bank statement showed he/she had only ten thousand shillings , which one is more authentic; what you were told or what you read from the bank statement?
 
Back
Top Bottom