Halima Mdee amtafutia Lulu wakili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halima Mdee amtafutia Lulu wakili

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mufiyakicheko, Apr 11, 2012.

 1. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kuna tetesi mbunge wa jimbo la kawe mh Halima jemes mdee anampango wa kutafuta wakili wa kumsaidia msani
  Elizabeti michael [Lulu] kwenye kesi ya malehem kanumba.

  mwenye taalifa kamili

  nawasilisha
   
 2. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Sasa kama huna taarifa kamili unapost kwanini? Na hiyo malehem ndo nini?
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Mufiyakichekomameongoza idadi yanposti
   
 4. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jaribu kutumia akili zako zoote. Zikiisha ndipo uombe za wenzako. tetesi! si umuulize aliyekupa tetesi, by the way, is it bad or sin? Ni haki na ni maamuzi yake mwenyewe na hajakuomba pesa. Mwache
   
 5. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Unatumia nini kusoma JF nikuelekeze sehemu ya kubonyeza upate space. Au ndio KIGAGAGIGIKOKO??
   
 6. mooduke

  mooduke JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Nafikiri Halima ni kijana makini kabisa na amethibitisha kwa kuchukua hatua nina kuunga mkono Mh. H. Mdee.

   
 7. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kwani kuna tatizo gani Mdee kumtafutia wakili?
   
 8. n

  ngozimbili JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 824
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 60
  Mh.halima mdee,kathibitisha kwamba alienda kumtembelea kituo cha oysterbay na akasema lulu ana miaka 17 na sio 18 kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari,kwa maelezo zaidi mfuate ktk ukurasa wake wa twitter@halimamdee.
   
 9. M

  MalikwaMali Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Malehem na taalifa ndio nini?
   
 10. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Since Lulu is her constituent, she is obliged to help her out after all she is also a lawyer!!
   
 11. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Hayo yote ni majina ya vijiji.
  Malehem iko Misri na Taalifa iko Irak.
   
 12. P

  Paul S.S Verified User

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Halafu hili la kusema anamiaka 17 mimi linanitia wasiwasi , maana kama ana vyeti na vikaonyesha anamiaka 18 itajenga picha mbaya kwenye kesi yake
  Kuwa anajua alichofanya hivyo anadanganya umri kujilinda

  Namtakia kila la heri aumalize mtihani huu salama
   
 13. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  lulu ni under 18, Kanumba alikuwa ana.......kimakosa
   
 14. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Inawezekana ni Editing Error,
  Fuatilieni mafaili yake akiwa shule ya msingi
   
 15. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  lulu ni mtoto, umerudia tena eti umeona cheti cha kuzaliwa, mara anategemewa na mama yake. mh! unazidi kuniacha hoi. Unajua wazi huyu binti keshapanda kizimbani kwa charge ya murder, wewe ni lawyer, unajua rule of law ni nini. unapigania maadili majukwaani kila siku, hayo maadili yataanzia hewani? binafsi, namuonea sana huruma huyu mtoto Elizabeti Michael ila nina hamu ya kujua huyu BINTI Lulu anahusikaje au hahusiki na kifo cha kanumba. Unataka utusahaulishe vimbwanga vya binti Lulu kirahisi hivi? mtoto mdogo usiku mkubwa anakuwa kwa mwanaume? Acha sheria ichukue mkondo wake. unatamba kuwa out of 40 ni watu 10 tu wanaokupinga, naomba nikukumbushe mageuzi ya vyama vingi, majority walipenda chama kimoja kiendelee(mangumbalo) lkn wenye akili wachache walitaka vyama vingi. Hii itakula kwako, mi napost 4 the 2nd time tatizo lenu politians huwa mnafikiria mnajua kila kitu encyclopedic perception. pole nafunga domo langu, tukiwa hai nitakukumbusha.
   
 16. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  aisii fanya utafiti kabla ya kupost, sasa unatuuliza sisi kutafuta umbea, mi nadhani kama unaona huna cha kupost pita njia . harafu unaonekana ulikuwa unatoroka kipindi cha kiswahili na mwandiko darasa la pili, sipati picha mwandiko wako wa mkono.....
   
 17. P

  Paul S.S Verified User

  #17
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Inamaana alidanganya miaka alipodondosha pati la nguvu kusheherekea miaka 18 mwaka jana ili ahalalishe watu kumrukia kisheria?

  https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/128372-lulu-atimiza-miaka-18-hongera-sana-2.html
  [video=youtube_share;S4FtMCz9Ngs]http://youtu.be/S4FtMCz9Ngs[/video]
   
 18. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kwamba umefunga : d*m* lako? Its Better you did it!
   
 19. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #19
  Apr 11, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  yap, bt time WILL/MUST tell !

   
 20. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #20
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tatizo Lulu mwenyewe aliukana sana utoto wake ili aweze kuruhusiwa kuingia kwenye nyumba za starehe. Sasa amepata matatizo anataka kuurudia utoto alioukana ili unsaidie. Kwa kweli anatia huruma sana.
   
Loading...