Halima Mdee amtafutia Lulu wakili

Haya sisi tusiojuwa sheria ngoja tuone mwisho wake kama tukifanikiwa kuwa hai maana kesi za bongo mhh hapo si chini miaka miwili kwa hukumu kutolewa..
 
Kwa mdomo wake alisema ana miaka kumi na nane. Sasa wewe kusema 17 unatafuta umaarufu? Kumbuka nguvu ya umma ipo against wewe! Ya ngoswe...............

Acha upumbavu Wewe,umaarufu wa Kanumba ndio unaokufanya umhukumu huyu binti mapema hv? Kwani hawezi Kuwa alidondoka chini kwa bahati mbaya? Hii kauli mbiu ya NGUVU YA UMMA sasa inatumika vibaya hata na Watu wajinga wa aina yako
 
Ndiyo mkuu nimekuelewa, kuna advantage/loophole flani nadhani kaiona katika kung'ang'ania kudai ana 17. Lakini kama ulivoasa hapo juu ikibainika anadanganya umri itaibua jingine. Na kuna clues: anaendesha gari possibly ana leseni ambayo wanapewa watu wazima tu hapa kwetu ni 18, see? Hii ni mojawapo tu zipo loopholes kibao zitazomexpose

Now were sailing in da same boat..........Mkuu kama ulikuwa kichwani mwangu vile
Kuna mambo mengi sana yanaibuka hapa kwa yeye kudai anamiaka 17
Ana drive na ana driving licence.................labda siku hizi zinatolewa kwa wenye miaka chini ya 18
 
Tatizo Lulu mwenyewe aliukana sana utoto wake ili aweze kuruhusiwa kuingia kwenye nyumba za starehe. Sasa amepata matatizo anataka kuurudia utoto alioukana ili unsaidie. Kwa kweli anatia huruma sana.




Lakini unajua sifa za mtoto? Moja wapo ni hizo anafanya mambo yasiyo na Hekima na ndio maana anapewa kinga Kwa sababu ni mtoto huyo na upeo wake bado Wa kitoto na hawezi kuchanganua ubaya Wa ayafanyayo....
Kweli ni Mdogo na anafanya mambo ya kitoto na ndio maana unasema hayo kuwa anafanya yasiyoeleweka na ambayo hayakufurahishi bkoz ni mtoto.
 
iwe SCAPEGOAT,FRIMASONS,MIAKA 17.hivyo vyote havitaweza kuzuia mahakama kufanya kazi yake,sheria ni msumeno hukata pande zote.

kama hana hatia ama anahatia vyote hivyo haviwezi kuongelewa na wanaharakati,Mdee,wanaJF.Ni mahakama inayofuata sheria,taratibu na kanuni zake.

siko upande wa kanumba wala lulu,nachokisema tuache sheria ifanye kazi yake

Sipingi mahakama na ndo itaamua lakini Lulu anahitaji msaada wa kisheria kwani anaweza kufungwa kwa kushindwa kujitetea ndo hoja ya Mdee iko hapo.
 
Ukumbuke pia hata hao waliokuwa wanalala naye walikuwa wanakosea sana kisheria na wanapaswa kuadhibiwa Kwa waliyokuwa wanayafanya Kwa huyo mtoto na walitumia nafasi hiyo ya UTOTO ULIOKUSHOTO KWA LULU Kama chance ya kukidhi haja zao.
Iko wazi walikuwa wanamrubuni mtoto na ukumbuke hataa huo umri Wa 18yrs katimiza juzi ambapo b4 walikuwa wana........??? Kosa
 
Mdee anatafuta umaharufu kupitia LULU, kama ccm ulivyojitafutia umaharufu kupitia mazishi ya kanumba
 
Sipingi mahakama na ndo itaamua lakini Lulu anahitaji msaada wa kisheria kwani anaweza kufungwa kwa kushindwa kujitetea ndo hoja ya Mdee iko hapo.

That's true na ndio utu maana utoto ni utoto huwezi mtupa mtoto eti kisa ameathirika na Tabia za kitoto mmmmh unatakiwa kumsaidia maana hajitambui....
HUO NDIO UTU
 
Mdee anatafuta umaharufu kupitia LULU, kama ccm ulivyojitafutia umaharufu kupitia mazishi ya kanumba


Acha maneno yasiyo na kichwa, Yule Binadamu siyo nyani na hata nyama wana uhai na wanatetewa pia wanapoonekana kuwa Katika matatizo
 
If someone told you he/she had one hundred million shillings in his/her bank account but his/her bank statement showed he/she had only ten thousand shillings , which one is more authentic; what you were told or what you read from the bank statement?

bora useme maana wengine wanakataa kujua ingawa wanaelewa na hawataki maandishi yenye uhakika Ila udaku na maneno ya mtaani na ubishi usio na kichwa... Wanaleta siasa wakati mtoto anashida na anapaswa kysaidiwa na hao hao wanaume ndio waliompagawisha mtoto na kijiumri chake badala ya kumuongoza ktk njia njema wao wakaanza KUJITAFUNIA, HAWAKUWA NA HURUMA WALA UTU KWA HUYU MTOTO...
" MTOTO WA MWENZIO HAKANYWI WALA KUONGOZWA MAANA MKUBWA MWENZIOOO?"
 
Amekana umri na kusema ana 17, hiyo 18 amesema mnajua nyie


Kwani hapa anayepaswa kutoa ukweli kama ni umri gani anao huyu binti ni nani??

Kwa mawazo yangu hafifu:-

(1) Cheti chake cha kuzaliwa.

(2) Wazazi Wake.

(3) Yeye mwenyewe.


Na kamwe siyo sisi mashabiki ambao hatukushuhudia hatawakati anazaliwa, tumemuona tu binti mrembo akiwa mkubwa.

Hivyo tuwaachie wenyewe........



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
mdee anachemka....

mtoto wa babu seya alikaa segerea akiwa na miaka 17 tu... umri isiwe kigezo cha haki kutotendeka plus kuna ushahidi wa interview mbalimbali anaukana udogo hadharani na kusema she is 18 .. tuacheni mahakama iamue..

Mahakama ikimuhurumie nguvu ya Umma itatumika labda akiacha tabia zake na kuanza kujifungia ndani maana hata tukimukuta kwenye daladala lzm tumwadabishe.
 
Amekana umri na kusema ana 17, hiyo 18 amesema mnajua nyie


Kwani hapa anayepaswa kutoa ukweli kama ni umri gani anao huyu binti ni nani??

Kwa mawazo yangu hafifu:-

(1) Cheti chake cha kuzaliwa.

(2) Wazazi Wake.

(3) Yeye mwenyewe.


Na kamwe siyo sisi mashabiki ambao hatukushuhudia hatawakati anazaliwa, tumemuona tu binti mrembo akiwa mkubwa.

Hivyo tuwaachie wenyewe........



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
hapo lazima nguvu ya umma itumike jino kwa jino mkimtoa labda ahamishwe nchi vinginevyo lzm adabishwe, swala la umri ndogo hata kanumba alikuwa bado dogo sana, kama eti mama yake alikuwa anamtegea hata mama yake kanumba , dada zake na wasanii waliokuwa wanachipukia walikuwa wanamtegemea sana. acha hao mawaziri waliompigia simu. ndugu kifo cha kanumba kina sababu nyingi ila lulu alitumwa tunataka atutajie waliomtuma. na mtu wa mwisho kumpigia simu lulu iliyosababisha ugomvi
 
Ninge muomba mdee anyamaze, kama ninavyo waomba watanzania wengine wanyamaze na kuhiachia mahakama ifanye kazi yake! pengine mdee ange fautilia vizuri mambo ya bungeni kuliko kujihusisha na mambo yanayo ihusu mahakama! anaweza akajiingiza kwenye mgogoro na wananchi.
 
Quote 'Kwa mdomo wake alisema ana miaka kumi na nane'
Je maandishi kwenye cheti chake cha kuzaliwa yakisomeka kumi na saba. Note: Kisheria maandishi yana nguvu zaidi.

Kwa Tanzania ya sasa hivi ni very possible kukuta maandishi kwenye cheti chake yanasema miaka 17 lkn wakienda deep zaidi wanaweza kugundua pia kuwa hata hayo maandishi ya kwenye cheti chake cha kuzaliwa kitakachokuwa kinaonyesha ana miaka 17 kuwa ni ya ku'forge.
 
Back
Top Bottom