Halima Mdee amtafutia Lulu wakili

Yeah, hata Hospitali aliyozaliwa kuna taarifa za ukweli fuatilieni.

Watu wangapi wanatakiwa kuwa mapumzikoni lakini leo ni mawaziri wanaoongoza kupiga usingizi bungeni na hakuna anayewahoji,
Huwajui nikutajie??????????
Tyson Je?
 
Mimi Naona tusipotezee muda kwa MUTU aliyepata kisanga cha MAPENZI. kWANZA twambie elimu yake na kwanini iwe hvyo.
 
Halafu hili la kusema anamiaka 17 mimi linanitia wasiwasi , maana kama ana vyeti na vikaonyesha anamiaka 18 itajenga picha mbaya kwenye kesi yake
Kuwa anajua alichofanya hivyo anadanganya umri kujilinda

Namtakia kila la heri aumalize mtihani huu salama

Hivi kumbe unaweza kuua na kutoa utetezi "umri wangu ni miaka 13 tu" na ukaachiwa huru? Ok, kumbe under 18 wako licensed to kill.
 
There iz strong secret behind ze scene, bt i belive tyme will tell, and teach ze lesson.
 
Mkuu sikiliza wimbo wa Hussen Machozi ''kafia geto''....inawezekana ndo kilichomtokea lulu.
 
Kwa mdomo wake alisema ana miaka kumi na nane. Sasa wewe kusema 17 unatafuta umaarufu? Kumbuka nguvu ya umma ipo against wewe! Ya ngoswe...............
 
Kwani umri mdogo ndio kibali cha kuua na kutokutwa na hatia? Ok kumbe ukiwa under 18 unaweza ua na kuondoka scott free.

Umri mdogo si namba tu bali unahusishwa na uwezo wa mwenye umri kutambua na kuelewa alifanyalo pamoja na madhara yakr. Ni sawa na mtoto anayeokota bastola na kuifyatua kwa kudhani ni toy kisha akaua.
 
Quote 'Kwa mdomo wake alisema ana miaka kumi na nane'
Je maandishi kwenye cheti chake cha kuzaliwa yakisomeka kumi na saba. Note: Kisheria maandishi yana nguvu zaidi.

Kwa mdomo wake alisema ana miaka kumi na nane. Sasa wewe kusema 17 unatafuta umaarufu? Kumbuka nguvu ya umma ipo against wewe! Ya ngoswe...............
 
Hivi kumbe unaweza kuua na kutoa utetezi "umri wangu ni miaka 13 tu" na ukaachiwa huru? Ok, kumbe under 18 wako licensed to kill.

NOPE kamanda, I don't mean that.....
Nakupa "home work"....find out why?.....what is the difference mtu anaposhitakiwa akiwa above 18 na under 18

Unadhani yeye mjinga kung'ang'ania ana miaka 17 na wakati birthday ya miaka 18 alisha fanya mwaka jana?
Bush lawyers wameisha mpa darasa
 
did mdee say kwamba because ana 17 she is free? amesema watu wamsaidie, haki itendeka, plz mkuu ukiwa unawasikiliza politicians, mark their words!!!
 
Yeah, hata Hospitali aliyozaliwa kuna taarifa za ukweli fuatilieni.

Watu wangapi wanatakiwa kuwa mapumzikoni lakini leo ni mawaziri wanaoongoza kupiga usingizi bungeni na hakuna anayewahoji,
Huwajui nikutajie??????????
Tyson Je?

Mkuu hizi siasa zitatufanya tuonekane kama matahaira sasa
Kila kitu tunapeleka huko
 
Wabongo bwana. Kitu cha muhimu wanakifanya cha hovyo na cha hovyo muhimu. Kwani Lulu ni nani hadi atuhangaishe wakati yalimpata yaliyompata alipokuwa kwenye harakati zake za kujibomoa? Masupastaa uchwara wetu wanahangaisha watu wengi wasio na cha kuwahangaisha.
 
NOPE kamanda, I don't mean that.....
Nakupa "home work"....find out why?.....what is the difference mtu anaposhitakiwa akiwa above 18 na under 18

Unadhani yeye mjinga kung'ang'ania ana miaka 17 na wakati birthday ya miaka 18 alisha fanya mwaka jana?
Bush lawyers wameisha mpa darasa

Ndiyo mkuu nimekuelewa, kuna advantage/loophole flani nadhani kaiona katika kung'ang'ania kudai ana 17. Lakini kama ulivoasa hapo juu ikibainika anadanganya umri itaibua jingine. Na kuna clues: anaendesha gari possibly ana leseni ambayo wanapewa watu wazima tu hapa kwetu ni 18, see? Hii ni mojawapo tu zipo loopholes kibao zitazomexpose
 
Jaribu kutumia akili zako zoote. Zikiisha ndipo uombe za wenzako. tetesi! si umuulize aliyekupa tetesi, by the way, is it bad or sin? Ni haki na ni maamuzi yake mwenyewe na hajakuomba pesa. Mwache

Msiweke shauku zene katika enzi ipitayo na msiifurahie. Ninyi ni kama ndege asiye na hadhari ambaye kwa imani kabisa huimba juu ya tawi, mpaka ghafla yule mwindaji hufanikisha kifo humtupa juu ya mavumbi, sauti tamu, umbo na rangi vinatoweka bila kuacha alama. Kwa hiyo angalieni. Enyi watumwa wa tamaa !
 
Awe na miaka 9 au 13 muhuni ni muhuni tu. Saa 8 usiku mtoto wa miaka 20 kama mimi ni baba yake kamwe siwezi kumruhusu kuwa nje ya nyumbani. Haya ndio maendeleo mliotuambia kanumba kayaleta na muvi zake au?
 
bora amtafutie, b'se we need to know the whole truth behind the saga...i mean, the whole truth!

hilo litawezekana ikiwa Lulu atakuwa na wakili mahiri wa kumtetea.
 
Kuna kisa cha Bush na mfungwa.Mfungwa akikamatwa na makosa yaliyomfikishia kuhukumiwa kifo.kwa muda aliokuwa gerezani akaokoka na kuwa mtu mwema aliyeweza badili wengi magerezani na nje.Ilipofika kwa Bush kuweka sahihi ktk Hukumu watu wa haki za binadamu na taasisi nyingine zikaanza hesabu mema na mfano mzuri wa jamaa km kigezo cha kumtaka Bush amsamehe jamaa. Bush akajaribu fikiria ni wapi sheria inaruhusu hayo au kuchagua mtu wa kukwepa sheria,hakuona.Ikabidi apitishe hukumu na watu waengi walimlaumu sana.
Huyu Binti ajilaumu kwa kutokuwa shule, kwani umri wa kuolewa kisheria anao ,pengine shule tuu ndio ingenfanya aonekane kutumiwa na marehemu au pengine asingekuwa kwa huyo jamaa kwani asingekuwa huru hivyo.Ila km alimsukuma na kumsababishia kifo(hata km kifo kilikuwa tayari mlangoni) hakuna njia halali ya kumuepusha, pengine ihamie ktk muua bila kukusudia.Si vyema sana huruma ifanye watu wepesi kuzuia sheria kwa baadhi ya watu.
 
Back
Top Bottom