Halima Mdee amtafutia Lulu wakili

Quote 'Kwa mdomo wake alisema ana miaka kumi na nane'
Je maandishi kwenye cheti chake cha kuzaliwa yakisomeka kumi na saba. Note: Kisheria maandishi yana nguvu zaidi.
Kwani vyeti bongo havitengenezeki?

Ingekua nchi yenye record zakueleweka hata mimi ningemuona huyo mbunge ni mtu wa maana.
 
If someone told you he/she had one hundred million shillings in his/her bank account but his/her bank statement showed he/she had only ten thousand shillings , which one is more authentic; what you were told or what you read from the bank statement?

Birth certificate kwa bongo usifananishe na Bank statement, ni vitu viwili tofauti sana, Birth certificate ukienda kwa wanaohusika na kuwapatia taarifa zako bila kujali zina ukweli au la unaipata kitu ambacho hakiwezekani kwa Bank statement.

Pia huyu binti alimaliza F4 akiwa na miaka 15?
 
Kuna kisa cha Bush na mfungwa.Mfungwa akikamatwa na makosa yaliyomfikishia kuhukumiwa kifo.kwa muda aliokuwa gerezani akaokoka na kuwa mtu mwema aliyeweza badili wengi magerezani na nje.Ilipofika kwa Bush kuweka sahihi ktk Hukumu watu wa haki za binadamu na taasisi nyingine zikaanza hesabu mema na mfano mzuri wa jamaa km kigezo cha kumtaka Bush amsamehe jamaa. Bush akajaribu fikiria ni wapi sheria inaruhusu hayo au kuchagua mtu wa kukwepa sheria,hakuona.Ikabidi apitishe hukumu na watu waengi walimlaumu sana.
Huyu Binti ajilaumu kwa kutokuwa shule, kwani umri wa kuolewa kisheria anao ,pengine shule tuu ndio ingenfanya aonekane kutumiwa na marehemu au pengine asingekuwa kwa huyo jamaa kwani asingekuwa huru hivyo.Ila km alimsukuma na kumsababishia kifo(hata km kifo kilikuwa tayari mlangoni) hakuna njia halali ya kumuepusha, pengine ihamie ktk muua bila kukusudia.Si vyema sana huruma ifanye watu wepesi kuzuia sheria kwa baadhi ya watu.

Naunga mkono hoja,akikwepa sana tena hapo Wansheria wake wamepambana kwelikweli atapatikana na hatia ya kuua bila kukusudia.
 
Umri mdogo si namba tu bali unahusishwa na uwezo wa mwenye umri kutambua na kuelewa alifanyalo pamoja na madhara yakr. Ni sawa na mtoto anayeokota bastola na kuifyatua kwa kudhani ni toy kisha akaua.
Kitendo cha kuficha umri na kuweza kwenda club inatosha kueleza kuwa ana uwezo kutambua alichokua anafanya ni kosa ndio maana alifahamu kuficha umri ataweza kuruhusiwa kuingia club. Hivyo kigezo cha mtoto mdogo hapa kinapoteza maana yake. Mtoto mdogo ni yule anaeweza kufanya jambo na asielewe madhara yake.
 
jamani hapa wakina Mdee wanatetea maslahi ya wengine wala sio ya Lulu. yule mtoto that night alipigiwa simu na mbunge mmoja wa Dar I.. A..n maana nae anapona pale kwa dogo. yule kapteni mstaafu nae anakadandia na kitambi chake. na wakubwa wengine ambao wanatumia madalali wao kukanunua kale katoto. kakikaa jela bila msaada kanaweza kufunguka kwa wanahabari na kila kitu kikamwagika hadharani.

Kama mmekafatilia kale kasichana, kanatembea na vigogo wengi ambao Halima na Bulaya wanawajua na hata wao maisha yao ya kimahaba yana mikwaruzo mingi maana hata ukitafuta kuwajua wapenzi wao huwezi.
Kulikuwa na tuhuma za mambo ya kusagana kwa waheshimiwa wetu na mambo haya bado yanaendelea japo hayasemwi na Lulu mchezo huu anaufanya pia maana yeye kwake muhimu ni pesa.

Inawezekana kukawa na personal interests kwa halima na Esther japo kwa Zitto sijajua amesimamia wapi.
japo sipingi Lulu kupata fair trial.

Kwa wasiojua, wasanii wetu wana matukio mengi machafu ambayo hayawekwi hadharani ila ukifanya nao kazi utayajua tu.
 
Hivi kweli watu mnataka Lulu apatwe na hatia kulingana na kauli zake alizozitoa huko uraiani na yale ambayo huandikwa kwenye ma tabloids?

I'm amazed! You really want to tell me all that nonsense is admissible in court?
 
Nakupongeza Mh Mdee fanya lililo jema Lulu ni bint mdogo (minor). Amekuwa akirubuniwa na mabazazi kwa urembo wake. She's only 17! Wabongo wanausemi wa kijinga mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzako.

Go go go Mh Mdee
alifanya sherehe kubwa ya kutimiza miaka 18, leo hii mnasema ni mtoto wa miaka 17, lulu ni mkubwa mwenzetu, sheria ichukue mkondo wake. halima mdee unatafuta umaarufu ili upate bwana nini, hovyooooo
 
Kama mh mdee na Bulaya wameamua kumsaidia kisheria haina ubaya wowote, na wasiishie hapo kuna watu wengi sana wa umri wake/wa jinsia yake wanaohitaji msaada wa kisheria wazunguke rumande waone. tusifanye kwake tu kwa sababu ya umaarufu wake.
 
Kwa mdomo wake alisema ana miaka kumi na nane. Sasa wewe kusema 17 unatafuta umaarufu? Kumbuka nguvu ya umma ipo against wewe! Ya ngoswe...............

Nguvu ya umma against hako kabinti kamoja tena mazingira menyewe hayajathibitisha kama kweli kameua??? Hivi hamna kazi za kufanya nyie? Alafu ni wapi Mdee aliposema kuwa kwa sababu ana 17 basi ni ruksa kutenda kosa?? Nakushauri rudi tena kwenye post yake ukamsome Mdee vizuri, na sio kuja na maneno yako eti anatafuta umaarufu! Mdee autafute umaarufu leo, ilihali hata wasiomjua kwa jina......ukiwaonesha picha yake wanashangilia!!!
 
Jaribu kutumia akili zako zoote. Zikiisha ndipo uombe za wenzako. tetesi! si umuulize aliyekupa tetesi, by the way, is it bad or sin? Ni haki na ni maamuzi yake mwenyewe na hajakuomba pesa. Mwache

Namsaidia muwakilisha mada,
Somewhere alitoa namba watu wachangie pesa za kuweka Ma'...note siyo Wa'...Ma'wakili watakaohakikisha Dogo anachoropoka kutoka kwenye mkono mkali wa sheria.
 
Habari ni kwamba sheria ifuate mkondo wake,hivi kuna watoto wangapi wapo magerezani na kwenye maisha magumu nani anawasemea hao? au kwasababu ya umaarufu wa lulu? mh Mdee na Mama Nkya wangekuwa na huruma na watoto wangeanzia kwn magereza ya watoto na kuwasaidia kesi zao wengine walibambikiwa tu,watu wasianze kutafuta umaarufu wa mpuuzi aliyekuwa hasikii wala kuambiwa,ujeuri mtoto mdogo! mmmmmh ucku wa manane yuko nje kwn uzinzi,watoto mida hiyo walikuwa wamelala acheni porojo.
 

Hili ndilo la msingi na lenye maslahi kwa taifa, aachane na kesi za uzinzi zisizo na tija kwa taifa. Asipoteze muda wa sisi tuliomchagua

Bila shaka Halima Mdee hakuongea kama Mbunge wa Jimbo la Kawe, bali kama Mwananchi na mwanasheria katika nji hii.

Sioni sababu ya kumlaumu, kama ni kuweka Daraja kwani pale JKT MLALAKUWA pameanza leo foleni!!!!!

MH. ADAMJEE, RITHA MLAKI WOTE WAMEPITA NA WAMEIONA ILE KERO YA DARAJA.

Kama ni KERO YA DARAJA MLALAKUWA, NAONA HERI IFUNGULIWE THREAD MPYA. na siyo hii inayohusu Kesi ya Mauaji ya RIP KANUMBA.



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
hivi mnafikiri lulu anamakosa? binafsi sioni htia kwake ila kwa wazazi wake, kwani walikuwa wapi mtoto akiwa nje hadi miaira kama yale? na je sheria ya tz inaruhusu mtoto wa 17 kuwa nje ya nyumba hadi saa ngapi? manake hii ni kweli kabisa niliwahi kwajibishwa polisi kwa kwenda na mwanangu wa 12 years kwenye part ya harusi hadi saa saba usiku. Ingawa baba yake alikuja kunitetea ila polisi walining'ang'ania hadi nikatoa yuda ndefu. na kigezo ni kwamba mtoto alikuwa below 18 na muda huo altakiwa kuwa amelala.
 

Kwani hapa anayepaswa kutoa ukweli kama ni umri gani anao huyu binti ni nani??

Kwa mawazo yangu hafifu:-

(1) Cheti chake cha kuzaliwa.

(2) Wazazi Wake.

(3) Yeye mwenyewe.


Na kamwe siyo sisi mashabiki ambao hatukushuhudia hatawakati anazaliwa, tumemuona tu binti mrembo akiwa mkubwa.
Hivyo tuwaachie wenyewe........



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!

Si kweli kwamba watz mmemuona lulu akiwa mkubwa,huyu mtoto ameanza kuigiza akiwa mtoto sana.kimsingi acha watu wamsaidie ikiwa uwezo wa kufanya hivyo wanao.atakapotoka jela atakuwa amejua maisha ni nini?unajua kama hayajakukuta lolote unaweza kuongea lakini siku yatakapokupata utakuwa na adabu kwa jambo lolote hata liwe la kuua sisimizi.TUMUOMBEE TUKIAMINI KWAMBA KANUMBA NA LULU WOTE WAMECHANGIA KUFANYA MAKOSA HATA KAMA MWINGINE NI MAREHEMU.
 
did mdee say kwamba because ana 17 she is free? amesema watu wamsaidie, haki itendeka, plz mkuu ukiwa unawasikiliza politicians, mark their words!!!
Sasa watu wamsaidiaje? Yani anataka tukubali kuwa hajahusika na wakati vyombo vya sheria havijathibitisha? Hapa hakuna cha kumsaidia, tuache tu haki itendeke (ingawa kibongo bongo haki huwaga haipatikani kirahisi)
 
mdee anachemka....

mtoto wa babu seya alikaa segerea akiwa na miaka 17 tu... umri isiwe kigezo cha haki kutotendeka plus kuna ushahidi wa interview mbalimbali anaukana udogo hadharani na kusema she is 18 .. tuacheni mahakama iamue..

Maneno yake hadharani sio proof. Hata angeweza kusema yeye ni mzee wa 50. Kama wewe unakubali hilo basi huwezi kuwa tofauti nae kama hao wasiokubali yeye ni 17. Yeye kasema 18 mmekubali , sasa kasema 17 mnabisha. Baadhi yetu tunajigeuza "much know" buuure kumbe ni madebe matupu.
 
Swali, na hao wapenzi wake nao wanawajibika vipi hapo ? maana wasione furaha wakati wakiwa nae kwenye kwa kujirusha tu, sasa ni zamu yao kutoa msaada kwa huyu binti
 
jamani mimi ninaamini kabisa huyu mtoto lulu hakuua, au kama ameua si kwa makusudi. tusipende kuhukumu watu, kumbuka kuwa mtu yoyote anaweza kujikuta kwenye situation kama ya lulu. nakaonea huruma haka katoto
 
Back
Top Bottom