Halima Mdee amsambaratisha Magufuli

Mapokezi ya HALIMA hata mimi yamenishangaza!!!
i can't believe my eyes
_atakuwa maarufu kushida yule. Zitto wa chama cha Act
 
Last edited by a moderator:
mkuu , nimefurahishwa sana na hilo jina jipya la MH HALIMA MDEE , TANZANIAN IRON LADY !

Pamoja sana mkuu.

Huyu ni mwanamke jasiri na shujaa Tanzania kuwahi kutokea miaka ya karibuni.

Huyu mama ni Lulu kwa Taifa hili.Tumlinde kwa nguvu zetu zote!
 
Majibu ni 2015. Turejee ahadi za mgombea za Mwalimu Nyerere. Kama viongozi watazifuata basi mambo yatakuwa salamaaaaat.
 

Tusitegmee miujiza,hapo ni pamoja na kuhamasisha watu wajiandikishe kupiga kura na kwenda kupiga kura.Mbeya mjini iliwezekana na mikao mingine nina uhakika itawezekana.Aim kwa vyama vya upinzani iwe ni kupata wabunge wengi iwezekanavyo.
 
Tofauti ya hizi kadi na zile wanazowekaga akina simiyu yetu ni kuwa zingine ni za miaka ya sabini wakati wao zote zinakuwa mpya.
Dalili zote ziko wazi na changamoto kubwa mbele yetu ni kusimamia na kudhibiti wizi wa kura na uchakachuaji mwingine.
 
Hadithi hadithi...hadithi njoo..uongo wa molemo njoo...Molemo idadi ya watu wanaoonekana kwenye picha pamoja na kuikuza kihivyo bado haijavunja rekodi ya mikutano ya dakta Magufuli...hizo kadi kumi na tano hazina tofauti na zile ambazo Kinana amekuwa akizipokea katika ziara zake, huko sio kumsambaratisha mtu..acha uzushi...subiria desema 14 chaguzi za serkali za mitaa ndio utoe tathmini yako kuwa Mdee amsambaratisha Magufuli
 

Hii nayo ni point nzuri sana inayo hakiki kuwa CCM imeshindwa kuwekeza katika rasilimali watu yaani watanzania! naweza kusema kilichowakusanya hao wazalendo katika mkutano huo ni matokeo ya vitendo vinavyo waumiza kuanzia kisaikolojia mpaka mwili kwa zaidi ya miaka 50! swali ni je??? wamechoshwa au wameshachoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…