Halima Mdee amsambaratisha Magufuli

Mapokezi ya HALIMA hata mimi yamenishangaza!!!
i can't believe my eyes
_atakuwa maarufu kushida yule. Zitto wa chama cha Act
 
Last edited by a moderator:
mkuu , nimefurahishwa sana na hilo jina jipya la MH HALIMA MDEE , TANZANIAN IRON LADY !

Pamoja sana mkuu.

Huyu ni mwanamke jasiri na shujaa Tanzania kuwahi kutokea miaka ya karibuni.

Huyu mama ni Lulu kwa Taifa hili.Tumlinde kwa nguvu zetu zote!
 
Majibu ni 2015. Turejee ahadi za mgombea za Mwalimu Nyerere. Kama viongozi watazifuata basi mambo yatakuwa salamaaaaat.
 
Binafsi nilikuwepo na nipo Chato muda huu. Watu kutoka Bwina, Nyabilezi, Rubambangwe, Itale, Kasagara, Ginnery na maeneo mengi walifika kwenye mkutano huo. Watu walirudisha kadi za CCM hadharani. Kiukweli mvuto wa Magufuli na CCM hapa Chato ni mdogo sana kiasi kwamba ukiitishwa uchaguzi mnaweza msiamini kuwa Magufuli anaweza kupata 30% ukilinganisha na Dr. Lukanima (63%). Sisi ndio wazawa wa Chato na huo ndio ukweli.

Tusitegmee miujiza,hapo ni pamoja na kuhamasisha watu wajiandikishe kupiga kura na kwenda kupiga kura.Mbeya mjini iliwezekana na mikao mingine nina uhakika itawezekana.Aim kwa vyama vya upinzani iwe ni kupata wabunge wengi iwezekanavyo.
 
Tofauti ya hizi kadi na zile wanazowekaga akina simiyu yetu ni kuwa zingine ni za miaka ya sabini wakati wao zote zinakuwa mpya.
Dalili zote ziko wazi na changamoto kubwa mbele yetu ni kusimamia na kudhibiti wizi wa kura na uchakachuaji mwingine.
10407380_658862304212412_6823844216364614988_n.jpg
 
Hadithi hadithi...hadithi njoo..uongo wa molemo njoo...Molemo idadi ya watu wanaoonekana kwenye picha pamoja na kuikuza kihivyo bado haijavunja rekodi ya mikutano ya dakta Magufuli...hizo kadi kumi na tano hazina tofauti na zile ambazo Kinana amekuwa akizipokea katika ziara zake, huko sio kumsambaratisha mtu..acha uzushi...subiria desema 14 chaguzi za serkali za mitaa ndio utoe tathmini yako kuwa Mdee amsambaratisha Magufuli
Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa Halima Mdee jana alitikisa Jimboni Chato kwa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara kuwahi kuhutubiwa jimboni hapo miaka ya karibuni.

Awali Mdee alilakiwa na umati mkubwa wa watu wakiwa na msururu mrefu wa magari,pikipiki,baiskeli huku akina mama wakiwa kandokando ya barabara wakipunga matawi ya miti.

Ujumbe mkubwa wa Halima Mdee kwa wanaChato ni kuikataa Katiba Haramu ya CCM na kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu.

Halima Mdee maarufu kama Tanzanian Iron Lady alipokea kadi 200 za watu walioamua kujitoa CCM na kujiunga Chadema.Huku mamia ya wananchi wengine ambao hawakuwa na chama wakijiunga pia Chadema.

Ikumbukwe jimbo la Chato linaongozwa na mbunge wa CCM John Pombe Magufuli ambaye ni waziri wa Ujenzi.

Ni simulizi hapa Chato kuanzia jana mpaka asubuhi hii kumzungumzia Halima Mdee na Chadema!

1658198_658862364212406_8498540439566593170_o.jpg

10612779_658862337545742_528341973315421299_n.jpg

10407380_658862304212412_6823844216364614988_n.jpg

10669105_658862190879090_1474681969313438198_o.jpg
 
Kati ya hao walioshiriki mkutano ni wangapi wapo tayari kupiga kura? Bado na sisitiza kinachowafanya watu wajae kwenye mikutano hii ni ukosefu wa ajira. Watu wangekuwa na kazi usingewaona wakijaa kwenye viwanja hivi kusikiliza watu waliopo kwenye kazi zao.

Hii nayo ni point nzuri sana inayo hakiki kuwa CCM imeshindwa kuwekeza katika rasilimali watu yaani watanzania! naweza kusema kilichowakusanya hao wazalendo katika mkutano huo ni matokeo ya vitendo vinavyo waumiza kuanzia kisaikolojia mpaka mwili kwa zaidi ya miaka 50! swali ni je??? wamechoshwa au wameshachoka?
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom