Halima Mdee amsambaratisha Magufuli

Kati ya hao walioshiriki mkutano ni wangapi wapo tayari kupiga kura? Bado na sisitiza kinachowafanya watu wajae kwenye mikutano hii ni ukosefu wa ajira. Watu wangekuwa na kazi usingewaona wakijaa kwenye viwanja hivi kusikiliza watu waliopo kwenye kazi zao.

Chama kiwatengenezee ajira?
Chato kuna maeneo ya maji ya kutosha, umesikia wakihamasishwa kujaribu ufugaji wa samaki(cage fish farming)?
Udongo wa Chato unafaa kilimo cha citrus fruits, sijasikia wataalamu wakiwahamasisha walala hoi.

Wasipozibuka na kutafakari upya watampigia kura waliyemzoea (Zimwi likujualo!)
 
Back
Top Bottom