Halima Mdee amsambaratisha Magufuli

Hili tukio sasa linalipa. CCM wangejua kuwa udhalimu wanaofanya wakati mwingine unawasaidia watu wafahamike zaidi kuwa ni watetezi wao.
ImageUploadedByJamiiForums1414740708.431382.jpg
Niwashauri tuu wapambanaji kuwa wakiona Polisi wanawaonea wasife moyo kwani kwa kufanyiwa hayo mioyo ya Watanzania ndio inazidi kuwa na imani nao kwani hata wenyewe huko mitaani kila siku wanabambikwa kesi na kuonewa kila kukicha.
 
Ni Wendawazimu Kwa Wenye Akili Za Kitumwa Na Misukule Si Kwa Wenye Kufikiri.Kwani Ana Hati Miliki Ya Jimbo?
 
Asante Mkuu kwa uthibitisho huu.

Mkuu na hapo ujue bado zipo kura wamezipiga juu kwa juu kama kawaida yao. Pia daftari nalo halijaboreshwa. Nakuambia muziki wa 2015 hata style yake ya kucheza sijui itawawiaje.
 
Wasio na kazi ndio watakaoleta ukombozi kwani hawaoni tofauti ya ccm na wakoloni.wamepewa elimu mbovu tena kwa matabaka,hawana fursa za kujiajiri wala kuajiriwa,wana machungu ya kufa kwa viwanda vyao vilivyojengwa na nyerere kwa gharama kubwa then vikauawa na haya mafisadi ili waendelee kuwatumia kisiasa kutokana na umaskini wao mkubwa.UKOMBOZI UTALETWA NA HAO WALIOKATA TAMAA,HAO WALIOKOSA ELIMU BORA,WASIO NA AJIRA RASMI AU ZISIZO RASMI NA SI NYIE MABUKU 7 MLIORIDHIKA NA HAYO MAKOMBO YA WEZI,WAUZA UNGA NA MAJANGILI.
Mkuu hv n kwel jamaa huwa wanchukua buku 7? Je upo ushahidi?
 
mkuu , nimefurahishwa sana na hilo jina jipya la MH HALIMA MDEE , TANZANIAN IRON LADY !
 
hili tukio sasa linalipa. Ccm wangejua kuwa udhalimu wanaofanya wakati mwingine unawasaidia watu wafahamike zaidi kuwa ni watetezi wao.
View attachment 197863
niwashauri tuu wapambanaji kuwa wakiona polisi wanawaonea wasife moyo kwani kwa kufanyiwa hayo mioyo ya watanzania ndio inazidi kuwa na imani nao kwani hata wenyewe huko mitaani kila siku wanabambikwa kesi na kuonewa kila kukicha.

post hii imenigusa sana !
 
Nakushauri na wewe ukafanye mkutano wako huko Chato alafu tuwaone hao wasiokuwa na ajira wakijitokeza.

Mkuu,hata mi nimemshangaa sana jamaa yako, Halima alitia mguu Geita mjini na watu walitoroka makazini including wa mgodini halafu analeta story zisizokua na ushahidi! Siku 2 baadae mwenyekiti wa ccm mkoani Geita akaja na Chopper kujaribu kuzima kile kilichofanywa na Halima aliisoma, ccm wakubali tu mziki wa huyu binti hawauwezi.
 
Back
Top Bottom