Kati ya hao walioshiriki mkutano ni wangapi wapo tayari kupiga kura? Bado na sisitiza kinachowafanya watu wajae kwenye mikutano hii ni ukosefu wa ajira. Watu wangekuwa na kazi usingewaona wakijaa kwenye viwanja hivi kusikiliza watu waliopo kwenye kazi zao.
Wasio na kazi ndio watakaoleta ukombozi kwani hawaoni tofauti ya ccm na wakoloni.wamepewa elimu mbovu tena kwa matabaka,hawana fursa za kujiajiri wala kuajiriwa,wana machungu ya kufa kwa viwanda vyao vilivyojengwa na nyerere kwa gharama kubwa then vikauawa na haya mafisadi ili waendelee kuwatumia kisiasa kutokana na umaskini wao mkubwa.UKOMBOZI UTALETWA NA HAO WALIOKATA TAMAA,HAO WALIOKOSA ELIMU BORA,WASIO NA AJIRA RASMI AU ZISIZO RASMI NA SI NYIE MABUKU 7 MLIORIDHIKA NA HAYO MAKOMBO YA WEZI,WAUZA UNGA NA MAJANGILI.