johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,993
- 142,010
Mkuu we acha tu!!Ni shida sana kuchagua kwa mihemko..
Kimya kingi kina uzito.Jimbo la kawe limekumbwa na madhara makubwa kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha juzikati.
Maeneo ya Basihaya, Boko, Kawe chini, Mbezi chini na Kunduchi ni baadhi tu ya sehemu zilizoathirika ikiwemo nyumba kubomoka kabisa na nyingine kuzingirwa na maji hadi leo.
Tumekuwa na mkuu wa mkoa Makonda, mkuu wa wilaya Hapi na viongozi wengine katika kuwapa faraja wahanga wa mafuriko lakini cha ajabu mbunge wetu hatujamuona kabisa, ndomana nauliza hivi Mdee kastaafu au kulikoni awatupe hivi " waliompigia kura"!!?
Anayejua alipo anijuze tafadhali!
Kwani akija nyumbani kwangu kuna ubaya gani na mimi ni mpiga kura wake!!Wewe ulitaka kumuona kwenye msafara wa Bashite au aje nyumbaninkwako? Sisi tunamuona na tuko naye. Jana alikuwa Boko.
Vipi kuhusu lile tukio la Kubomolewa nyumba watu wa Mbezi na Ubungo Makonda alikuwepo kuwafariji waliokumbwa na tukio lile? je wewe uliandika chochote kulaani tukio lile au uliona sawa tu kwa kuwa upumbavu umekujaa kichwani.Jimbo la kawe limekumbwa na madhara makubwa kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha juzikati.
Maeneo ya Basihaya, Boko, Kawe chini, Mbezi chini na Kunduchi ni baadhi tu ya sehemu zilizoathirika ikiwemo nyumba kubomoka kabisa na nyingine kuzingirwa na maji hadi leo.
Tumekuwa na mkuu wa mkoa Makonda, mkuu wa wilaya Hapi na viongozi wengine katika kuwapa faraja wahanga wa mafuriko lakini cha ajabu mbunge wetu hatujamuona kabisa, ndomana nauliza hivi Mdee kastaafu au kulikoni awatupe hivi " waliompigia kura"!!?
Anayejua alipo anijuze tafadhali!
Kwani akija nyumbani kwangu kuna ubaya gani na mimi ni mpiga kura wake!!
Kipindi hiki KIKI mwisho Boko magengeni huku mjin kazi tu. .ko atulie hvohvo
kafa nyerere, kawawa ..ccm inaendelea, katoka kingunge ccm oyeeee. HUYU NYARANDU ni ushuzi tu.Mtuache na halima wetu nyie pambaneni na nguvu ya akina lazalo
Kumbe ushuzi sasa mbona mnatapatapa na ushuzi si muuache uchafue hari ya hewakafa nyerere, kawawa ..ccm inaendelea, katoka kingunge ccm oyeeee. HUYU NYARANDU ni ushuzi tu.
Naona umepanic maana mbunge wa Kibamba naye akili zake zinafanana na za huyu wa Kawe. Wewe ndiye kiongozi wa Wapumbavu wote maana hata hukumbuki kuwa ni Makonda aliyezuia bomoa bomoa Dar isiendelee!!! Mbwiga kabisa kiboga.Vipi kuhusu lile tukio la Kubomolewa nyumba watu wa Mbezi na Ubungo Makonda alikuwepo kuwafariji waliokumbwa na tukio lile? je wewe uliandika chochote kulaani tukio lile au uliona sawa tu kwa kuwa upumbavu umekujaa kichwani.