Labda kama kuna agenda mpya. BMK tayari ni historia. Twendeni kwa wananchi katiba inayopendekezwa ikipelekwa huko. Mbona kule Kenya Orange waliweza?ukombozi uko karbu sana
Labda kama kuna agenda mpya. BMK tayari ni historia. Twendeni kwa wananchi katiba inayopendekezwa ikipelekwa huko. Mbona kule Kenya Orange waliweza?ukombozi uko karbu sana
Hawa jamaa akili zao mbovu sana, wanashindwa kukamata wauaji wa albino wanakuja kukamata wamama wanaopigania haki.
ukombozi uko karbu sana
Ni kweli kabisa Dr.Dr.Dr. JK alimualika ikulu.
Mdee nae kwa kupenda sifa... jimbo.la kawe josefin mushumbus mchumba wa slaa analitaka
Kwani alialikwa aende kwa maandamano???
Ukiona hadi akina mama wanaandamana ujue ukombozi umefika .Leo kulikua na maandamano ya baraza la wanawake CHADEMA yaliokuwa yanaelekea ikulu kudai kuchakachuliwa kwa rasimu ya katiba yakiongozwa na mwenyekiti Halima Mdee, polisi wakaingilia na wakawatanya pia kumkamata Halima Mdee, kwa sasa yupo mbaroni.
Chanzo: ITV Breaking News
Umasikini wa akili ni mbaya kuliko wote - JK NYERERE .Tena ni bora wamemkamata..... Anasema wamechakachua??? Yeye alikuwa wapi wanachakachua?? Kuna mtu alifukuzwa wakati wa utungaji katiba??? Aache umalaya wake wa kutaka kujulikana kisiasa na kutumika kama kondomu na akina mbowe kisiasa!! Tena mimi ningekuwa ndiye raisi ningemfungulia kesi ya uhaini pumbavu zake
Jitathimini kwanza huna ubavu wa kusimama nami ulingoni.... Watafute msalani, simiyu yenu, thatha, hammy d nk mm si size yako ngedere weweAkili hizi za kihuni ndo think tank za chadema???
Hakuna kamanda wa cdm mpumbavu , rekebisha hiyo kauli aisee .Mkuu fcha upumbavu. Unajua nn alipost mwanzo we kengemaji au unaona alivyoedit tu?
Kwi! Kwi! Kwiii!!!Jitathimini kwanza huna ubavu wa kusimama nami ulingoni.... Watafute msalani, simiyu yenu, thatha, hammy d nk mm si size yako ngedere wewe