Halima Mdee akamatwa na polisi

Halima Mdee akamatwa na polisi

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo yeye akajua tayari anaweza kuamka tu ameshiba makande yake na kwenda ikulu, ajifunze kuheshimu mamlaka ya nchi asipoiheshimu mamlaka iliyowekwa na sisi wananchi kwa wingi wetu atapigwa tu
Mamlaka hiyohiyo unayojigamba umeiweka ndo hiyohiyo kila kukicha inaibiwa pesa na kushindwa kuwakamata wezi, ndio hiyohiyo ndani yake kuna watu wanaihujumu kwa kila namna,ndo hiyohiyo wezi wakiiba huambiwa rudishen tu YATOSHA, ndo hiyohiyo ambayo inashindwa kuwahudumia wananchi wake kupata maji safi,elimu bora,maji,huduma za afya ukiwemo na wewe mwenyewe mdau katumbili
 
Last edited by a moderator:
Mamlaka hiyohiyo unayojigamba umeiweka ndo hiyohiyo kila kukicha inaibiwa pesa na kushindwa kuwakamata wezi, ndio hiyohiyo ndani yake kuna watu wanaihujumu kwa kila namna,ndo hiyohiyo wezi wakiiba huambiwa rudishen tu YATOSHA, ndo hiyohiyo ambayo inashindwa kuwahudumia wananchi wake kupata maji safi,elimu bora,maji,huduma za afya ukiwemo na wewe mwenyewe mdau katumbili

Tumeshawachoka na mifano yenu hiyo hiyo kila kukicha, Mnavunja amani ya nchi mkiulizwa, eti oo maji hakuna, hela zimeibiwa, ajira hakuna sijui nini. Mifano ya kipumbavu, hata marekani huduma za jamii hazijakamilika, acheni upuuzi.
 
Last edited by a moderator:
Ipo siku na nyie mtakua upande huu wa pili na kuanza kuvilaumu vyombo vya dola. Leo si vinawabeba nyie? Kesho vitawaburuza nyie msije lalamika.
 
mmm ujinga wako peleka huko lumumba usiniletee upuuz wenu.... Kwani ikulu inahama, hakna watu, ombeni sefue naye yupo dodoma? Mjinga ngedere wewe

walitakakuonana na sefue au raisi ; acha umburula sikia maoni ya halima mdee
 
Leo kulikua na maandamano ya baraza la wanawake CHADEMA yaliokuwa yanaelekea ikulu kudai kuchakachuliwa kwa rasimu ya katiba yakiongozwa na mwenyekiti Halima Mdee, polisi wakaingilia na wakawatanya pia kumkamata Halima Mdee, kwa sasa yupo mbaroni.

Chanzo: ITV Breaking News

Hivi hii migamba ni lini itaacha kuvunja sheria za nchi? Kuandamana ni haki ya kikatiba ya kila raia wa nchi hii. Sasa kwanini migamba iwahujumu CHADEMA kwa kuzuia maandamano yao bila sababu zozote za msingi?
 
Hivi kwanini biashara ya umalaya,pombe inafanyika ktk baraks za polisi,mfano msimbazi,chang'ombe,ufundi huko ni hatari,yaani pome pombe tu......kwanini serikali inaruhusu haina ile ya ulevi....je ina uhusiano gani na rushwa polisi,unyama polisi na ubumbumbu wa polisi,ukimwi.
 
Tanzania,Tanzania nakupenda kwa moyo wote.HII NDIYO TZ BWANA.INTELEJENSIA KWA WAPINZANI TU.
 
Napia wamwangalie kama ni mwanamke kweli! yaweza kua anaigiza kuwa mwanamke kumbe dume. nchi hii italindwa na raia wake wanaotii sheria bila shuruti ukikaidi utapigwa tu
Na wakikuta dume watafanya nini? maana hata mashehe mliwaangalia mkakuta ni madume mkawatumia kama wakike. Hii laana haitawaacha wao na vizazi vyao.
 
Mdee nae kwa kupenda sifa... jimbo.la kawe josefin mushumbus mchumba wa slaa analitaka
 
Hawa jamaa akili zao mbovu sana, wanashindwa kukamata wauaji wa albino wanakuja kukamata wamama wanaopigania haki.

wanawake wana nini?? wakivuruga amani wasikamatwee?.. wakamatwe wakina nani sasa?... wangeandamana kuelekea dodoma sio ikulu...... sijui kama na mikate walibeba hawa
 
mkuu tumia uelewa wako kutambua sababu za maandamano ya kamanda mdee na wenzako;si kila kitu ww unaongozwa na buku7.

walitaka kuonana na raisi ; inaonyesha ata tv hawaangalii jana raisi anafungua hosp dodoma; kwanini wasimsubiri au wafuate ziara ya bukoba; kwani chadema hipo dar ; tumia akili , mburula wa cdm ; watafute kina mama wa dodoma au bukoba,
 
Wana jamii nikiwa Dsm September 2014 nilishuhudia mambo ya ajabu sana moja ktk barracks za polisi kuna biashara ya pombe na umalaya unaondelea na kelele za ajabu ajabu yaani hakuna utulivu na ustaarabu.Sasa unabaki kujiuliza tu je hii ndiyo maadili ya polisi barracks?,je biashara hizi zote ni za nani?,je zinalipiwa kodi?.Kwa ujumla unaweza kulink hali ya jeshi letu la polisi na uovu huu,mfano ktk kelele kama zile ni kwa vipi tutakuwa na mapolisi wenye uelendi?,je hali ya hiv/ukimwi ktk jeshi la polisi haichochewi na hali hii,rushwa,unyama na uonevu.Barracks nilizotembelea ni Msimbazi,ufundi.Mimi nadhani tunakosea.Wewe je?.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom