King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,519
- 94,158
Leo kulikua na maandamano ya baraza la wanawake CHADEMA yaliokuwa yanaelekea ikulu kudai kuchakachuliwa kwa rasimu ya katiba yakiongozwa na mwenyekiti Halima Mdee, polisi wakaingilia na wakawatanya pia kumkamata Halima Mdee, kwa sasa yupo mbaroni.
Chanzo: ITV Breaking News