Halima Mdee akamatwa na polisi

Halima Mdee akamatwa na polisi

Status
Not open for further replies.
Leo kulikua na maandamano ya baraza la wanawake CHADEMA yaliokuwa yanaelekea ikulu kudai kuchakachuliwa kwa rasimu ya katiba yakiongozwa na mwenyekiti Halima Mdee, polisi wakaingilia na wakawatanya pia kumkamata Halima Mdee, kwa sasa yupo mbaroni.

Chanzo: ITV Breaking News

Hao wapigwe tu, wanachafua mahali kutakatifu bila sababu yoyote! Wanataka tanzania iwe iraq? Siria? au Jamhuri ya Afrika ya Kati?

Tanzania huru, kwa mipaka ya uhuru!
 
Halima Mdee kamuiga Mbowe na wajinga wenzake wa CHADEMA.
 
raisi yupo dodoma ; kashindwa nini kumfuata dodoma au anafuata juice

Mkuu tumia uelewa wako kutambua sababu za maandamano ya Kamanda Mdee na wenzako;si kila kitu ww unaongozwa na buku7.
 
Leo kulikua na maandamano ya baraza la wanawake CHADEMA yaliokuwa yanaelekea ikulu kudai kuchakachuliwa kwa rasimu ya katiba yakiongozwa na mwenyekiti Halima Mdee, polisi wakaingilia na wakawatanya pia kumkamata Halima Mdee, kwa sasa yupo mbaroni.

Chanzo: ITV Breaking News

wanaotafuta umaarufu through maandamano shikamooo....
 
angajua angemuomba kibali kikwete wakati wanafungua hiyo barabara ya tegeta...
_hawa police wetu dawa yao ni JWTZ tu
juzi umeona jwtz huko tarime wakiwashikisha adabu police stendi ya tarime
 
Leo kulikua na maandamano ya baraza la wanawake CHADEMA yaliokuwa yanaelekea ikulu kudai kuchakachuliwa kwa rasimu ya katiba yakiongozwa na mwenyekiti Halima Mdee, polisi wakaingilia na wakawatanya pia kumkamata Halima Mdee, kwa sasa yupo mbaroni.

Chanzo: ITV Breaking News
ehhhe nzuri hiyo nimeipndaa sana hiyoo
 
Wangefyatua tu vyenye ncha Kali maana wamechoka Amani hao
 
Leo kulikua na maandamano ya baraza la wanawake CHADEMA yaliokuwa yanaelekea ikulu kudai kuchakachuliwa kwa rasimu ya katiba yakiongozwa na mwenyekiti Halima Mdee, polisi wakaingilia na wakawatanya pia kumkamata Halima Mdee, kwa sasa yupo mbaroni.

Chanzo: ITV Breaking News

Katiba ambayo polisi wanakuwa mbele kuitetea si katiba ya wananchi ila ni katiba ya wenyenchi
 
Hajavunjwa kiuno kwa kipigo. Ashukuru Mimi si Polisi vinginevyo Ningehakikisha pingili za uti wa mgongo zimebenguliwa kwa rungu ya kiuno ikifuatiwa na teke la nguvu.
 
Mmm ujinga wako peleka huko Lumumba usiniletee upuuz wenu.... Kwani ikulu inahama, hakna watu, ombeni sefue naye yupo Dodoma? Mjinga ngedere wewe

Akili hizi za kihuni ndo think tank za chadema???
 
angajua angemuomba kibali kikwete wakati wanafungua hiyo barabara ya tegeta...
_hawa police wetu dawa yao ni JWTZ tu
juzi umeona jwtz huko tarime wakiwashikisha adabu police stendi ya tarime
 
Hawa jamaa akili zao mbovu sana, wanashindwa kukamata wauaji wa albino wanakuja kukamata wamama wanaopigania haki.

Hivi hiyo single ya maandamano bado wanadhani itawatoa chagadema! Nadhani Halima akijiangalia kwenye kio haridhiki na sura yake ilivyoharibika kwa machunusi, anatafuta kung'olewa meno na polisi apate promo ya kutoka kisiasa maana kwa sura, she has nothing to loose!
 
hao polisi kama hawana kazi ya kufanya si waletwe huku tunduma kupambana na majambazi yanayoiba wapendavyo.......rpc anakula kuku wakati raia tunaishi kwa hofu
 
kwahiyo yeye akajua tayari anaweza kuamka tu ameshiba makande yake na kwenda ikulu, ajifunze kuheshimu mamlaka ya nchi asipoiheshimu mamlaka iliyowekwa na sisi wananchi kwa wingi wetu atapigwa tu

bora wangemkata kichwa kabisa! Mwanamke na sauti ya kukoroma ana kiherehere sana! Polisi pigeni huyo mwanamama kichwani akome
 
Napia wamwangalie kama ni mwanamke kweli! yaweza kua anaigiza kuwa mwanamke kumbe dume. nchi hii italindwa na raia wake wanaotii sheria bila shuruti ukikaidi utapigwa tu

Nyie ndio wale ambao Dr. Masabuli alisema mnafikiria kwa kutumia ma..ta...ko.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom