Halima Mdee akamatwa na polisi

Halima Mdee akamatwa na polisi

Status
Not open for further replies.
Ndio maana nawaombea hawa polisi waendelee kupigwa mabomu.....kwanini wasingewaacha waende wafikishe ujumbe wao kisha watawanyike....yaani hawa polisi vilaza wa bongo ndo wangekuwa wa Hong Kong sijui hali ingekuwaje sasa hivi.

#Vote No
 
Kwahiyo yeye akajua tayari anaweza kuamka tu ameshiba makande yake na kwenda ikulu, ajifunze kuheshimu mamlaka ya nchi asipoiheshimu mamlaka iliyowekwa na sisi wananchi kwa wingi wetu atapigwa tu

mkuu malakaka zenyewe haziheshimiki;zitaheshimiwaje?
 
Ukienda kinyume na mamlaka ya ccm lazima polisccm wakupige au kukukamata. Nchi hii huko mbeleni amani itakuwa ni msamiati.
 
Hivi hawa watawala wa CCM wanadhani watadumu milele?

Hebu wajikumbushe historia, hakujawahi kutokea utawala wowote hapa duniani ambao uliwahi kudumu wakati wote.

Kwa hiyo CCM kuamini kuwa watadumu milele madarakani kutokana na namna walivyoitengeneza katiba yao waliyoipitisha Dodoma, watakuwa wanajidanganya kupita kiasi.

Wajaribu kufikiria vyama kama KANU cha Kenya, UNIP cha Zambia, MCP cha Malawi, vyama hivyo ambavyo vilikuwa vyama tawala toka nchi hizo zipate uhuru, vyama hivyo 'vimefutika' kabisa kwemye nchi zao.

Kwa hiyo CCM wasijione exceptional, na kwa njia hii wanayotumia ya mtutu wa bunduki, ili waendelee kudumu madarakani, ndiyo inazidi kuwasogeza haraka sana kwenye kaburi lao la kisiasa, kwa kuwa waTZ hivi sasa wamezidi kuichukia serikali yao maradufu, kutokana na policcm, kutumia nguvu kubwa mno kupinga wananchi wanaojitokeza kwa amani, kuelezea hisia zao, ambayo ni haki yao ya kikatiba, lakini sasa watawala wetu, wameamua kwa makusudi kabisa, kuvunja katiba, kuzuia mikusanyiko yoyote ambayo wanahisi itakuwa na mawazo kinzani na yao!
 
angajua angemuomba kibali kikwete wakati wanafungua hiyo barabara ya tegeta...
_hawa police wetu dawa yao ni jwtz tu

raisi yupo dodoma ; kashindwa nini kumfuata dodoma au anafuata juice
 
Mkuu angalia matamshi yako tazama neno lako la mwisho nanukuu akili zawanawake bana ovyo kabisa mwisho,unamaana hata mamako?.
Mkuu mijitu mingine haitumii ibongo. Huyo kichwani mwake kashifadhi matope.
 
mahakama kuu imekwisha sema, 'hayo ni mambo ya kisiasa'-halima yuko sahihi kudai mambo ya kisiasa kwa njia za kisiasa.

raisi yupo dodoma; waambie waende ikulu ya dodoma
 
Ndio maana nawaombea hawa polisi waendelee kupigwa mabomu.....kwanini wasingewaacha waende wafikishe ujumbe wao kisha watawanyike....yaani hawa polisi vilaza wa bongo ndo wangekuwa wa Hong Kong sijui hali ingekuwaje sasa hivi.

#Vote No

PoliceCCM dawa yao kama ya juzi kule Mkoani mara.
 
rais kikwete mbona alimualika? Hivi ninyi policcm mnasumbuliwa na nn?.... Heri.... Lazma nyota imulike

lakini awakupanga siku ; ikizingatiwa raisi yupo dodoma ; ikulu anaenda kufanya nn; ata dodoma kuna ikulu umburula wa mdee ajui km kuna ikulu kila maali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom