THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,543
- 14,803
Tabata kero hii ccm imekaa madarakani miaka nenda rudi,hali ndiyo kwanza inazid kuwa mbaya
hata maji ambayo ni uhai ccm mnaifanya iwe ni ajenda ya kisiasa??
Hatari sana,,hizi species za binadam hawa sijui zimedondoka kutoka sayari gani,,hawana huruma kabisa??