Halima Mdee aibuka shujaa Kawe

Halima Mdee aibuka shujaa Kawe

Wewe dada nilikupenda sana kwa kasi yako ya kufanya kazi ulipo kwenda bungeni tu naona umebadilika sana kuna bomba la maji uloweka wewe mpaka leo bado halina maji sasa sijui kulikoni huu ni mwaka wa 5 unawambia nini wananchi wako

Join Date : 18th August 2013
Posts : 280
Rep Power : 357
Likes Received48
Likes Given2


Kumbe unakuja kuzifanyia kazi buku 7 za Lumumba? Duuuuh! Baaaadaeeeee saaaaanaaaaa! Nakusikitikia!
Halima Mdee na John Mnyika, huyu ni wale wale wanaotumwa na Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba.

Ni product safi ya VodaFasta. Kwao 2 X 2 = 5!
 
Last edited by a moderator:
Wewe dada nilikupenda sana kwa kasi yako ya kufanya kazi ulipo kwenda bungeni tu naona umebadilika sana kuna bomba la maji uloweka wewe mpaka leo bado halina maji sasa sijui kulikoni huu ni mwaka wa 5 unawambia nini wananchi wako

vipi unataka akupe wewe shavu la ubunge wa kawe ? weka nia wazi usaidiwe na sio ku "beat around the bush'
 
Acha unafiki wewe mrembo cute_39! Idara ya maji huijui ilipo?
 
Last edited by a moderator:
Kaza buti mh:Mdee mpaka kieleweke 2015 hogera kwa kujua mahitaji ya wananchi wako. MAGU tanajemba moja cjui ilishapotelea na wapi naomba 2015 isipate tena jimbo CDM tunaibana vilivyo.
 
Kumbe Chadema inaongoza nchi kwa sasa CCM ni chama pinzani.
 
Hongera MDEE kwa kazi nzuri unazowafanyia Wananchi
 
Safi sana dada Halima,mateja wa ccm mpooooo?????
 
Chezea mdee weweeeeee jembe hilo anachapa kazi bungeni na nje yabunge
 
mdee ni jembe kuliko sitta, wasira, makamba, magufuli, mwakyembe, kawambwa,muhongo etf
 
Back
Top Bottom