M.s.e.n.g.e wewe
Tunaposema chadema iko ICU ama imekufa ni vyema mkaelewa na kukiri ukweli huu ili twende sawa. Kagenge kalichoambatana na halima kwenye maandamano ni kichekesho kitupu. Namsikitikia sana dada angu huyu ambaye ana wakati mgumu sana jimboni kwake kawe.
kakikundi hako kamerushwa live kwenye media wakati wa taarifa za habari. Mbaya zaidi imerushwa na itv ambayo wanazi wa chadema wanaisifu na kuishabikia mno.
source: ITV habari....
Hiyo bangi huwa mnavuta mkiwa pamoja?
Wacha kukurupuka, tatizo lenu magamba mkishaona mmezidiwa hoja humu JF, huwa mnaanza kashfa na matusi!
Hakuna polisi mwenye akili timamu Tanzania....ndio maana chrisslukosi alikimbia hii kazi ya upolisi.
We pimbi utawala huu ungekuwa wa kidikteta hata kabla hujamaliza kuandika haya ukiyopost umeshakamuliwa mavi sa nyingi acheni kufuru.mlijisahau tuu kipindi cha mwema nchi inatakiwa inyooke ili watu waache siasa za kisenge kama za chadema na.kufanya kaziSidhani kama kuna utawala katili na
wakidiktena na wakinafiki, Duniani, kwa sasa, kama utawala huu wa Tanzania wa awamu ya nne...Rais Kikwete alikutana na Mbunge wa kawe, Halima mdee wiki iliyopita katika Sherehe za ufunguzi wa barabara..Rais alionyesha urafiki,akampongeza Mdee kwa kuchaguliwa kuwa kiongozi wa wanawake Chadema kisha akamwambia ameasikia yeye na wanawake wa Chadema wanataka
kumwona, kwa tabasabu akamwambia yuko tayari kuwasikiliza na wanakaribishwa sana Ikulu.leo akinamama hao wakiwa katika harakati za kwenda kumwona Rais,
wanazuiwa na kupigwa...Ni kama vile
alimwambie Mdee karibu kisha akawaambia polisi wakiandamana piga bila huruma!...
Umeshindwa kua mstaarabu kusikiliza kwanini wawe wastaarabu kukuzuia? Hakuna nchi yeyote dunia inayovumilia ujinga tunaona sana kwenye vyombo vya habari virungu vikitembezwa
Ni aibu mwanaume unatetea ufisadi..huku wanawake wanapigania nchi yako..aibu kubwaNguvu ya umma ipi sema ameachiwa tu baada polisi kujiridhisha na maelezo
Hizi siasa za chadema kujitafutia umaarufu wa lazima hazitowakomboa watanzania..walikwepa kuingia bmk ambalo lilikuwepo kisheria sasa kwa akili za kawaida maandamano uchwara ya watu sita yatabadilisha sheria ambayo chadema wenyewe waliipitisha baada ya kupewa juice?
CHAMA CHA SIASA ni MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .
Kitendo cha polisi kuwapiga wanawake, hasa Halima mdee, ni kitendo cha aibu na kinatakiwa kilaaniwe na Watanzania wote wenye akili timamu. Wanawake wote bila kujali wewe ni CCM, CUF, NSSR mageuzi ni lazima mtoe tamko kwa wanawake wenzenu kudhalilishwa kiasi hiki. Wanawake kwa asili yao kimaumbile si watu wenye nguvu sana, inasikitisha kuona polisi wanaume wanampiga Halima Mdee kwa virungu utadhani wanakamata jambazi. Kitendo hiki kimenipa huzuni sana, ingawa kuandamana ni haki ya watanzania lakini kuwapiga wanawake virungu ni aibu. Nchi zingine watu wanaandamana lakini polisi wanawakamata kwa kwa ustaarabu, si kama ilivyotokea leo. Wito wangu, wanawake wote, watanzania wote bila kujali tofauti zetu tulaani kitendo hiki cha kihuni.