Halima Mdee aachiwa huru

Halima Mdee aachiwa huru

Sikuzote chadema haina nguvu kwa upande wa wanawake sio kama Bavicha
 
Sidhani kama kuna utawala katili na
wakidiktena na wakinafiki, Duniani, kwa sasa, kama utawala huu wa Tanzania wa awamu ya nne...Rais Kikwete alikutana na Mbunge wa kawe, Halima mdee wiki iliyopita katika Sherehe za ufunguzi wa barabara..Rais alionyesha urafiki,akampongeza Mdee kwa kuchaguliwa kuwa kiongozi wa wanawake Chadema kisha akamwambia ameasikia yeye na wanawake wa Chadema wanataka
kumwona, kwa tabasabu akamwambia yuko tayari kuwasikiliza na wanakaribishwa sana Ikulu.leo akinamama hao wakiwa katika harakati za kwenda kumwona Rais,
wanazuiwa na kupigwa...Ni kama vile
alimwambie Mdee karibu kisha akawaambia polisi wakiandamana piga bila huruma!...

Waziri mkuu wenu si kasema Wapigwe tu?
 
Wanawake wazee wakiwa kituo cha Polisi kutaka mwanamke mwenzao (Halima mdee) aachiwe

10501669_304178139773808_5231332231245455816_n.jpg
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha. Wameagizwa na wanaowalipa mshahara wafanye hivyo kuwaziba vinywa wanaharakati wanaopigania tz ya kesho . Na haya pia yatapitaa.
 
Kwa laani hizi ndio maana polisi mkitaafu mnakuwa majambazi, walinzi, na kusongwa na mawazo
 
Mwenyewe huwa wana nishangaza sana polisi badala ya kulinda amani wanageuka kutumika kisiasa wakati wenyewe wana maisha magumu ka nini waache sifa za kijinga wauaji wa albino wana fahamika hawakamatwi kutumia nguvu nyingi kwenye upuuzi mambo ya kitaifa na yo affect wananchi kama wezi wanaachwa ila ndo nchi ilipofika kila mahali hamna haki only selfshness imetawala kila mahali wananchi nao wawe wanaua tu wakileta kiherehere chao kutumika
You are absolutely right Princess.
 
tatizo la maandamano yoyote yale ni chanzo cha uvunjifu wa amani,na hakuna serikali yoyote duniani inayoridhia maandamano na ukiona imekuwa hivyo imelazimu tu lakini maandamano hayapendeki ni kama mtu anakula chakula na pilipili japo anawashwa lakini anakula tu apate ili chakula kipite,hivyo polisi wala serikali wasilaumiwe ni hali halisi tu tukubali matokeo.

Uvunjifu wa amani unatokana na kukosekana kwa haki.Ni lazima kutafuta chanzo cha tatizo
 
Me nashangaa sn hii nchi aisee,hata kama hawakutakiwa kutumia nguvu vile,tena WANAWAKE!!! ni ajabu sn.
Kinachoendelea Tanzania ni kitu HATARI sn.Kuna haja ya kuchukua kitu cha ziada.
 
wanawake au mashangingi mdee ni mke wa nani msagaji yule na mvuta bang

Usagaji ni maisha binafsi wala siyo ishu kwetu. Wewe una uhakika gani kama mama yako hajawahi kuuza uchi au kuliwa nyuma kabla ya kukuzaa wewe?
 
Kitendo cha polisi kuwapiga wanawake, hasa Halima mdee, ni kitendo cha aibu na kinatakiwa kilaaniwe na Watanzania wote wenye akili timamu. Wanawake wote bila kujali wewe ni CCM, CUF, NSSR mageuzi ni lazima mtoe tamko kwa wanawake wenzenu kudhalilishwa kiasi hiki. Wanawake kwa asili yao kimaumbile si watu wenye nguvu sana, inasikitisha kuona polisi wanaume wanampiga Halima Mdee kwa virungu utadhani wanakamata jambazi. Kitendo hiki kimenipa huzuni sana, ingawa kuandamana ni haki ya watanzania lakini kuwapiga wanawake virungu ni aibu. Nchi zingine watu wanaandamana lakini polisi wanawakamata kwa kwa ustaarabu, si kama ilivyotokea leo. Wito wangu, wanawake wote, watanzania wote bila kujali tofauti zetu tulaani kitendo hiki cha kihuni.
Alitumwa na nani kuandaa maandamano haramu na apigwe tuu
 
Tanzania hatuna jeshi la polis, bali jeshi la ccm, kwao anayeenda kinyume na matakwa ya ccm lazima adhalilishwe ama kupigwa vibaya! Bila kufumua hili jeshi la polisccm amani itakuwa msamiati hapa nchini siku za usoni.
 
Back
Top Bottom