Chadema hakika choka mbaya akinamama.kumi na tisa hahahahahahahaTunaposema chadema iko ICU ama imekufa ni vyema mkaelewa na kukiri ukweli huu ili twende sawa. Kagenge kalichoambatana na halima kwenye maandamano ni kichekesho kitupu. Namsikitikia sana dada angu huyu ambaye ana wakati mgumu sana jimboni kwake kawe.
Tunaposema chadema iko ICU ama imekufa ni vyema mkaelewa na kukiri ukweli huu ili twende sawa. Kagenge kalichoambatana na halima kwenye maandamano ni kichekesho kitupu. Namsikitikia sana dada angu huyu ambaye ana wakati mgumu sana jimboni kwake kawe.
Ulitaka aandamane na bibi yako?.Shwaini mkubwa wewe
Na wewe mkuu. Na baba yako pia
Chama kimepitea kabisa hakika siasa mbaya wamebaki matamko tuu.unawezaje kujivunia nguvu ya umma.kiongoI wa kitaifa kuandamana na wanawake makenge wenzake kumi na tisa
tatizo la maandamano yoyote yale ni chanzo cha uvunjifu wa amani,na hakuna serikali yoyote duniani inayoridhia maandamano na ukiona imekuwa hivyo imelazimu tu lakini maandamano hayapendeki ni kama mtu anakula chakula na pilipili japo anawashwa lakini anakula tu apate ili chakula kipite,hivyo polisi wala serikali wasilaumiwe ni hali halisi tu tukubali matokeo.
ukiambiwa ukweli utakiwi kununa bwana mdogo mlikosea saana kuwafukuza wale wakina zitto itawachukua miaka 5 kuridi katika hali ya kawaidaM.s.e.n.g.e wewe
Kitendo cha polisi kuwapiga wanawake, hasa Halima mdee, ni kitendo cha aibu na kinatakiwa kilaaniwe na Watanzania wote wenye akili timamu. Wanawake wote bila kujali wewe ni CCM, CUF, NSSR mageuzi ni lazima mtoe tamko kwa wanawake wenzenu kudhalilishwa kiasi hiki. Wanawake kwa asili yao kimaumbile si watu wenye nguvu sana, inasikitisha kuona polisi wanaume wanampiga Halima Mdee kwa virungu utadhani wanakamata jambazi. Kitendo hiki kimenipa huzuni sana, ingawa kuandamana ni haki ya watanzania lakini kuwapiga wanawake virungu ni aibu. Nchi zingine watu wanaandamana lakini polisi wanawakamata kwa kwa ustaarabu, si kama ilivyotokea leo. Wito wangu, wanawake wote, watanzania wote bila kujali tofauti zetu tulaani kitendo hiki cha kihuni.