Halima Mdee aachiwa huru

Halima Mdee aachiwa huru

Katika historia tanzania na duniani hakijawahi kutokea chama kama ccm ya kikwete hawajitambui wala kujielewa maaandamano ya wanawake polisi wanaume wanakamata wanawake kweli????????

Hahaha mimi naacha siasa rasmi hakuna haki kwenye siasa



kukiwa na hofu kubwa nchini kwa takribani masaa matano (5) sasa baada ya mwenyekiti wa taifa wa wanawake wa chama cha chadema halima mdee kukamatwa na polisi baada ya kudhalilishwa kwa kupigwa kikatili na askari polisi wanaume hatimaye nguvu ya umma imeshinda na ameachiwa huru.

Mara baada ya kukamatwa na kupigwa kisha kuwekwa rumande katika kituo cha polisi osterbay nguvu ya umma ilitikisa nje ya kituo hicho kwa akina mama maimia kwa mamia kukizunguka kituo hicho huku wakiimba nyimbo za ukombozi na kutaka mwanamama shujaa halima mdee aachiwe mara moja.

Akina mama hao hawakujali wingi wa polisi wala magari yaliyosheheni silaha hatimaye mdee akaachiwa huru.

Halima mdee alikuwa anaongoza maandamano ya akina mama wa chadema kuelekea ikulu kupinga rasimu haramu ya ccm iliyopitishwa na wabunge wa ccm na vibaraka wao wiki hii.

1924390_671185256322826_7664490508546385360_n.jpg
1604783_671184859656199_6973916564300874417_n.jpg
10641133_671184926322859_2798054373558139573_n.jpg
 
Unaweza ukaona unadai haki kwa ajili ya watu wako kumbe unadai jela yako ndio maana slaa na mbowe wana kwepa maandamano maana ccm ni wauwaji na hawataki roho kupotea juu yao ndio maana wanakwepa
 
Mleta mada umekynywa gongo ya Iringa maana huwa haina mchezo Mangu alikua IGP wamwanza?hahahahaahhahahhaah
Kwa taarifa yako nikitapika nilichokula na kunywa leo Ukoo wako wote mta pigania viumbe kulamba maana ni vitu vya maana , umekwisha nfahamu ?
 
Halima amwachie a kwa mara ya pili usiku huu baada ya kukamatwa eneo la Bunju usiku huu ......kitaelewek tu
 
hivi kaolwa huy dada, hana majukum ya kulea famiia yake
 
Kwa tanzania ipi ..civil disobedience? ? Unacheza ww those act are for men.....Yemen. .Egypt. ..iraq lakini si tanzania......sanaa tu nothing more
Usijifanye hauko Tanzania mara ngapi Polisi wamecharazwa viboko na vituo kufungwa kwa siku fanya utafiti ujiridhishe bwana wananchi wanajielewa kuni zikichochewa kidogo tu mambo yatakuwa swaafi watalijua jiji of course zile level za hao wenzetu zimesaidiwa na wao kuwa na elimu ya uraia
 
Unaweza ukaona unadai haki kwa ajili ya watu wako kumbe unadai jela yako ndio maana slaa na mbowe wana kwepa maandamano maana ccm ni wauwaji na hawataki roho kupotea juu yao ndio maana wanakwepa
Acha Kujitoa ufahamu Lini waliacha siasa hizo book 7 zitawatokea puani
 
hivi kaolwa huy dada, hana majukum ya kulea famiia yake
Analea familia ya Tanzania manake bila mwanamke kama yeye akina salma wangetafuna hata midomo yetu wakafanya fedha
 
Wakikamata mmoja uweni police mmoja sio kuandamana na kupiga kelele jicho kwa jicho meno kwa meno. ...lipa kisasi utaingia peponi
 
Uweni hawo police kila siku akifa mmoja kwa watakuwa wa ngapi? Tafakari
 
Nadhani kuandamana ni haki ya kiraia! Ila kuwe na organisation kabla ya kuandamana! Suala la Katiba ni suala la kitaifa! Kuna wengi tumehuzunishwa na kuchukizwa na kile kilichotokea katika BMK na baadhi yetu si wanachama wa vyama vya siasa kwani havotuwakilishi wote hususani wale tulio mrengo wa kushoto! Hakuna chama kinacho wakilisha mrengo wetu. Lakini katika suala hili tungependa kuonyesha hisia zetu. Hivyo basi vyama au makundi yanayoandaa maandamano ni jukwaa zuri na adimu. Ni vema wakatoa taarifa ili nasi tuweze kushiriki. Mkiandamana wachache na kwa namna isiyoeleweka manatunyima nafasi. Tuache kujigawa kwa makundi kama kina mama, vijana, yatima, walemavu, wazee n.k.

Katika hili tuwe na sura ya kitabaka yaani tabaka la watawaliwa dhidi ya watawala. Mkianza vyama, taasisi za vyama na makundi mengine basi hatutafanikiwa. Let's organise and not antagonise!
 
Hakuna polisi aliye ccm Mwanza na wala msiwalaumu.
 
hehehe wafuasi wa CDM munafaa kufanya kazi ktk magazet munajua kupamba habari.
Mm npo Ilala hapa na asubuhi nilienda IFM ila sijaona huo waswas ambao unasema ww sijaskia hata mtu mmoja kuongelea kuhusu Mdee kukamatwa, labda ktk vijiwe vya kahawa ambapo sijapita leo.
Acheni kupamba tu kama magazeti yanavopamba wachezaj mpira.
Kwan mukiandika ukweli tu munapungua wapi lazima mutie hayo maujanja yenu eti?
 
hehehe wafuasi wa CDM munafaa kufanya kazi ktk magazet munajua kupamba habari.
Mm npo Ilala hapa na asubuhi nilienda IFM ila sijaona huo waswas ambao unasema ww sijaskia hata mtu mmoja kuongelea kuhusu Mdee kukamatwa, labda ktk vijiwe vya kahawa ambapo sijapita leo.
Acheni kupamba tu kama magazeti yanavopamba wachezaj mpira.
Kwan mukiandika ukweli tu munapungua wapi lazima mutie hayo maujanja yenu eti?

Aibu sana harafu unajiita msomi?
 
kadili ya sheria za kijeshi amri ya mwisho ndo inatekelezwa hivyo watanzania wenzangu tujitaidi kuwa waelewa tunapo tangaziwa kitu,askari polisi anapo ambiwa maandamano yasifanyike ni kwa njia yoyote ile inabidi yasifanyike hivyo ni vyema kutii amri inayo tolewa kabla hata virungu havija tembea,

wapo wanao amini kauli ya dk.slaa kwamba polisi 35 elfu hawawezi kuzuia raia milioni 20 hii inaweza kuwa propaganda kama ya mkwawa kuwaambia wafuasi wake waseme maji wanapo pigwa risasi wakiamini itageuka kuwa maji,kumbukeni kazi ya jeshi ni kulinda Amani hivyo hao mnao waona wachache wakishindwa tupo wengine huku msituni hata hatuna kazi na huwa hatuna msalia mtume.ombi langu kwenu ni kuwa tufuate sheria daima kibuli kingine hakifai,wapo watu mnao amini bora itokee vita lakini ukweli ni kwamba vurugu mnazo ziona zinatokea na watu wawili au watatu wanauwawa haifikii hata asilimia 2 ya vita.waulizeni watu wa mtwara kwa sababu wa waliona athari na maisha walio ishi ndani ya masaa yasiyo zidi 90.
MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBARIKI AFRICA
 
Back
Top Bottom