kioju
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 804
- 271
Tunaposema chadema iko ICU ama imekufa ni vyema mkaelewa na kukiri ukweli huu ili twende sawa. Kagenge kalichoambatana na halima kwenye maandamano ni kichekesho kitupu. Namsikitikia sana dada angu huyu ambaye ana wakati mgumu sana jimboni kwake kawe.
kakikundi hako kamerushwa live kwenye media wakati wa taarifa za habari. Mbaya zaidi imerushwa na itv ambayo wanazi wa chadema wanaisifu na kuishabikia mno.
source: ITV habari....
Sasa ndo ujue na policcm walivojiaibisha kutumia nguvu kubwa ya askar na vifaa vyao kuzuia maandamano akili ndogo, kwakua ishadhbitka kuwa CHADEMA iko ICU swal la kujiuliza kwanin CCM wanatumia nguvu kubwa kuzuia chama mahututi
Hahahaaaaa.......... poor politics with ignorance of police = unthinking speech