Halima Mdee aachiwa huru

Halima Mdee aachiwa huru

ili Mwendele kufisadi Nchi? Kumbuka hamuwezi kupambana nampango wa Mungu

Tumekuteua kwa niaba ya JF utakuwa mwakilishi wetu wa kwenda kumkanda kanda Mdee maji Kwenye sehemu alizo umizwa kwa kipigo. Tunaomba utuwakilishe vyema
 
Hiyo hofu labda ulikuwa nayo wewe na familia yako..sisi huku mwanza na tanzania nzima tunakula maisha wala hatujui kuwa kuna mtu anaitwa halima mdee katiwa mbaloni!
 
Halima James Mdee hongera Dada,ila.... Mhh!! Sexy woman! Sorry to say that. Uko bomba
 
mbona juzi halima alialikwa ikulu ? aende ya nn kuingia barabarani
 
Hiyo hofu labda ulikuwa nayo wewe na familia yako..sisi huku mwanza na tanzania nzima tunakula maisha wala hatujui kuwa kuna mtu anaitwa halima mdee katiwa mbaloni!

Lumumba bna... Sasa eti hujui kma amekamatwa na wala jna hilo hulijui,.... Ebu soma upya heading ndo ujue we ni mpuuzi mkubwa
 
Hata kama ulionana na Rais wakati wa ufunguzi wa barabara hiyo haimaanishi usiombe kibali cha kuandamana. Au Rais aliwaandikia polisi akawaambia wakuruhusu kuandamana? Wewe mwanasheria unaelewa vizuri maswala ya taratibu.

Sidhani kama sheria inatamka kuhusu kuomba kibali unapotaka kuandamana. Naomba hapa ukasome upya
 
cheza mdee wewe? virungu,risasi mwsho mnyonge lazma haki yake apewe
 
Polisi wanalipwa laki mbili tu bado hawajitambui hivi wakiongezewa mshahara je....
watu wa design yetu - ikitokea mnaitwa na mkuu ya idara yenu huwa mnajiharishia. Kuwa hio ulitakiwa waongezewe mshahara ili wasifuate taratibu za kazi yao?
 
Hiyo hofu labda ulikuwa nayo wewe na familia yako..sisi huku mwanza na tanzania nzima tunakula maisha wala hatujui kuwa kuna mtu anaitwa halima mdee katiwa mbaloni!

kosa si lako poorthinking wasalimie wenzio akina masha,dialo
 
Kwa akili zao wanadhani ikulu wangeruhusiwa kufika? Waislam wenyewe na kanzu zao walishindwa kufika.. Pale ikulu yupo wasira yule nyani ataishia tu kuwatukana ...
Linachoendelea hapa ni kujitafutia manundu na maumivu tu ... Kwanza halima si alikuwa na Kikwete juzi tegeta?
 
Mwenyezi Mungu wawote na nyinyi mnavunja sheria za nchi lazima mpigwa tu haiwezekani kuachiwa huru

ubabe wa babako pinda kuwakoli polis ndicho kilichowa cost akina husni mubarak piga ua haki itaptkana tu
 
ww kachero mnafki sana,juzi juzi umetka mafunzoni unakuwa mkuda iviii
 
serikali ya ccm pamoja na vyombo vya dola lazima watambue muda wa kutumia mabavu na una mwisho wake huu uonevu unaofanywa na hawa polisi wa ccm ipo siku utaisha Halima Mdee pole sana kamanda usijali hakuna amani inayopatikana bila kupambana haya ni majaribu tuu yana mwisho wake hakuna kukataa tamaa ni kusonga mbele daima HAKUNA MWENYE UWEZO WA KUZUIA MIPANGO YA MUNGU
 
Hizi siasa za chadema kujitafutia umaarufu wa lazima hazitowakomboa watanzania..walikwepa kuingia bmk ambalo lilikuwepo kisheria sasa kwa akili za kawaida maandamano uchwara ya watu sita yatabadilisha sheria ambayo chadema wenyewe waliipitisha baada ya kupewa juice?
 
Kweli mnajua kutafuta umaarufu.
Hiyo hofu kubwa ilianzia mkoa gani na kuishia mkoa gani?Mbona watu wengi hawajui kama huyo Halima alikamatwa au lah?
Acha kukuza mambo!

Kama umaarufu na mvuto kisiasa h.mdee zaidi ya jk unajifanya umesahau juzi alivyomfunika juzi tegeta mpk mwenyewe akamshobokea,
 
Kukiwa na hofu kubwa nchini kwa takribani masaa matano (5) sasa baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa wanawake wa chama cha CHADEMA Halima Mdee kukamatwa na polisi baada ya kudhalilishwa kwa kupigwa kikatili na askari polisi wanaume hatimaye nguvu ya umma imeshinda na ameachiwa huru.

Mara baada ya kukamatwa na kupigwa kisha kuwekwa rumande katika kituo cha polisi osterbay nguvu ya umma ilitikisa nje ya kituo hicho kwa akina mama maimia kwa mamia kukizunguka kituo hicho huku wakiimba nyimbo za ukombozi na kutaka mwanamama shujaa Halima Mdee aachiwe mara moja.

Akina mama hao hawakujali wingi wa polisi wala magari yaliyosheheni silaha hatimaye Mdee akaachiwa huru.

Halima Mdee alikuwa anaongoza maandamano ya akina mama wa CHADEMA kuelekea IKULU kupinga rasimu haramu ya CCM iliyopitishwa na wabunge wa CCM na vibaraka wao wiki hii.

1924390_671185256322826_7664490508546385360_n.jpg
1604783_671184859656199_6973916564300874417_n.jpg
10641133_671184926322859_2798054373558139573_n.jpg

Ndio alichokuwa anataka, kupata promo kupitia huruma ya uanamke wake, gutter politics, shame on you!
 
Back
Top Bottom