Kuonekana kwenye tv ndiyo hoja hai?mawazo kama baba yetu hutaki watu wawe na TV huku kwako unayo! Information is power! we need be informed so to become powerful as a nation!
Acheni blabla na kulirudisha nyuma taifa kwa hoja mfu
Kuonekana kwenye tv ndiyo hoja hai?mawazo kama baba yetu hutaki watu wawe na TV huku kwako unayo! Information is power! we need be informed so to become powerful as a nation!
Acheni blabla na kulirudisha nyuma taifa kwa hoja mfu
Nenda bungeni, vizia lunch hour.mwenye mawasiliano ya huyu binti anisadie,nataka nimuoe
kasome civics utajua kazi za mbunge, kazi ya mbunge ni kuongea kuishauri serikali na kutunga sheria hayo mengine ziada!Sasa ukiliona live kwenye TV furaha yako itakuwa nini? Mimi nafikiri nikimwona mbunge wangu jimboni anahimiza maendeleo ni afya zaidi kwasababu nitajua kuwa anawajibika badala ya kuonyesha sura zenye kutoka mapovu bungeni!
Ndio nyie lumumba mnajulikana kwa kupindisha na kulisha watu manenoKuonekana kwenye tv ndiyo hoja hai?
mkuu alidai na kukomalia sana "pay stubs" za raisi.yule wa ukawa aliyesema rais alipe kodi aliliaibisha taifa.
Huyo hana kosa. Tatizo mnaogopa maoni tofauti. Wote ni NDIOOO na kushangilia kila kilichotoka kwa Mzee. Uzuri wa unafiki ni kuwa mtachokana muda si mrefuyule wa ukawa aliyesema rais alipe kodi aliliaibisha taifa.
Elimu Elimu Elimu Elimu
Democracy ya kweli.Live kwa manufaa ya nani?
Huyu ni mojawapo ya wabunge wanaojielewa! Tatizo kubwa la wananchi ni afya, makazi bora,elimu, miundombinu, maji,utatuzi wa migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji na siyo kuangalia
Kaka Mbunge anahimiza maendeleo katika jimbo lake la uchaguzi kwa kuwahimiza wananchi wake kushiriki katika shughuli za maendeleo walizoainisha kwa kipindi tajwa.Mbunge anafahamu kabisa ni miradi gani itatekelezwa katika jimbo lake kwavile yeye anahudhuria vikao vikao vyote kuanzia wilaya hadi mkoa! Hayo maendeleo hayawezi kukwama kwasababu tu bunge halionyeshwi live!