Kar
Karithi ujinga wa mwenyekiti wa jumuia ya wazazi wa ccmHuyu ni wa kumsamehe bure, hata ubunge wa viti maalumu aliupata kwa kupitia kwa baba yake Abdallah Bulembo aliyekuwa kampeni meneja wa Raisi Magufuli. Kwa hiyo ni lazima ataongea kama wanavyotaka waliompa ubunge