Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Walipa kodi ambao wanagharamia shughuli za bungeLive kwa manufaa ya nani?
Walipa kodi ambao wanagharamia shughuli za bungeLive kwa manufaa ya nani?
Kwani wabunge wameanza kuchaguliwa mwaka huu? Kuanzia Uhuru tulikuwa na Bunge na wabunge walikuwa wanaibana serikali bila hata ya wananchi kujua kinachoendelea huko bungeni!Je wananchi watapimaje kwamba mbuge wao hakuwasemea kero zao wakati wamenyimwa haki ya kumwangalia anavyoyasema? uoni itakua ngumu kwa mwananchi kumwajibisha mbunge kwenye sanduku la kura iwapo atajitetea kua amefanya kazi yake lakini serikali ndo hawakuwajibika?
Kwani wabunge wameanza kuchaguliwa mwaka huu? Kuanzia Uhuru tulikuwa na Bunge na wabunge walikuwa wanaibana serikali bila hata ya wananchi kujua kinachoendelea huko bungeni!Je wananchi watapimaje kwamba mbuge wao hakuwasemea kero zao wakati wamenyimwa haki ya kumwangalia anavyoyasema? uoni itakua ngumu kwa mwananchi kumwajibisha mbunge kwenye sanduku la kura iwapo atajitetea kua amefanya kazi yake lakini serikali ndo hawakuwajibika?
Mimi siyo Lumumba! Ni Mtanzania huru ambaye sifuati mkumbo kama nyumbu na kuzungusha mikono kujitoa akili!Ndio nyie lumumba mnajulikana kwa kupindisha na kulisha watu maneno
i didn't know this before.........ubunge wa viti maalumu aliupata kwa kupitia kwa baba yake Abdallah Bulembo aliyekuwa kampeni meneja wa Raisi Magufuli
mkuu, ulichoandika hapo ndio siasa zilizovyo. ili kuwa mwanasiasa mzuri ni lazima uwe mnafiki ama ndumi la kuwili. sisi kazi zetu hizi hazinaga siasa that's i love this job of mine.Siyo yeye tu wabunge wengi humu bungeni ni mizigo hasa hawa wa kuteuliwa, wanakwenda kulinda maslahi yao peke yao na ya waliowachagua. Hii si kwa CCM tu hata upinzani ndiyo maana kwa hili nampenda Zitto kabwe maana yeye hajali kuitwa msaliti pale anapoona kuna ukweli lakini watu walioelimika kama kina Tundu Lisu nao wananaswa katika mtego kama huu hata wale wa CCM walioelimika wanakisemea chama chao CCM bila kujali kama ni kwa manufaa ya umma ama manufaa ya CCM na kundi la majambazi. Demokrasia tanzani ni ya ujanja ujanja tu. Taabu sana ndiyo maana wakati mwingine nashangaa hata sisi wananchi tunaingia katika mkenge wa vyama vyetu ku support kila ujinga ili mradi unatoka katika midomo ya watu wenye itikadi moja na sisi utadhani ni lazima kuunga kila neno analosema Magufuli ama Mbowe tunajisahau kuwa sisi ndiyo mabosi wao hao wanasiasa.
Kwani wabunge waliochaguliwa kuanzia uhuru kabla ya Bunge kurushwa "live" walikuwa hawaongei humo bungeni na wananchi walikuwa hawaridhiki kwa vile hawaonekani?kasome civics utajua kazi za mbunge, kazi ya mbunge ni kuongea kuishauri serikali na kutunga sheria hayo mengine ziada!
inaonyesha kama uko serious au unatania kuwa hujui kazi za wqbunge ni nini, kama kazi zao ni kuongea basi TV ndio inawahusu zaidi, kasome tena civics kama hikuelewa!
Mbona na EL naye amepata nafasi tano za wabunge wa viti maalum nao akli zao zimesinyaa?Ubunge wa kuupata kwa shukrani ni shida sana yaani akili yake tayari imeshasinyaa
Wao umewasikia wakiongea pumba kama hizo za huyo binti wa Manager?Mbona na EL naye amepata nafasi tano za wabunge wa viti maalum nao akli zao zimesinyaa?
Unajuaje kama wameshaongea pumba lakini hawajapata media attention!Wao umewasikia wakiongea pumba kama hizo za huyo binti wa Manager?
Nimejua kama njia niliyojua ya uyo binti wa managerUnajuaje kama wameshaongea pumba lakini hawajapata media attention!
Tanganyika na baadae Tz bara hapakuwa na tv. Ndio unapenda turudi huko, ili muendelee kuwapumbaza wa Tz. Hao Waheshimiwa mabinti wanaoletwa na Baba au washikaji tutauonea wapi uwezo wao?Kwani wabunge wameanza kuchaguliwa mwaka huu? Kuanzia Uhuru tulikuwa na Bunge na wabunge walikuwa wanaibana serikali bila hata ya wananchi kujua kinachoendelea huko bungeni!
sijui kama anaelewa mantiki ya bunge laivu. anaona upande wa wabunge badala kufikiria haki ya wananchi kupata habari!Elimu na uelewa wa kupambanua mambo ni tofauti kabisa. Anaelimu lakini pengine hawezi au ndio mtizamo wake
Ndio kundi la hata sehemu kubwa ya wabunge wa lumumba wanavyolichukulia swala hili.sijui kama anaelewa mantiki ya bunge laivu. anaona upande wa wabunge badala kufikiria haki ya wananchi kupata habari!
una umli gani wewe? naona kioja si hoja hapa!Kwani wabunge waliochaguliwa kuanzia uhuru kabla ya Bunge kurushwa "live" walikuwa hawaongei humo bungeni na wananchi walikuwa hawaridhiki kwa vile hawaonekani?