Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,155
- 31,054
Yes sisi tupe week 2 tu tunazoea. Watanzania tumeumbiwa kuzoea shida 🤣Na mmetulia tulii
Yes sisi tupe week 2 tu tunazoea. Watanzania tumeumbiwa kuzoea shida 🤣Na mmetulia tulii
Hehehehhe ndio maana mliitwa maiti! Na ukiandamana utakufa mwenyewe amna ambaye atahangaika na kukuunga mkonoYes sisi tupe week 2 tu tunazoea. Watanzania tumeumbiwa kuzoea shida 🤣
Haaa mimi siwezi kuandaman kwasababu ya mtanzania mwenzangu, maana ukikamatwa wiki tu washakusahau wanaendelea na maisha kama vile hakuna kilichotokea.Hehehehhe ndio maana mliitwa maiti! Na ukiandamana utakufa mwenyewe amna ambaye atahangaika na kukuunga mkono
Haamini kabisa yani we unaenda jela wao unawaacha wanakusimanga ah kihele hele nae alitumwa😅Haaa mimi siwezi kuandaman kwasababu ya mtanzania mwenzangu, maana ukikamatwa wiki tu washakusahau wanaendelea na maisha kama vile hakuna kilichotokea.
Najua hata Mbowe haamini anachoona.
Sisi ndiyo Watanzania, wanakwambia sasa serikali ifanye nini wakati kuna ukame ni mapenzi ya Mungu. Mimi nikasema sasa bora serikali isiwepo tuishi kwa mapenzi ya MunguHaamini kabisa yani we unaenda jela wao unawaacha wanakusimanga ah kihele hele nae alitumwa😅
Serikali inajiona haina wajibu wa kumletea mwananchi maendeleo! Yani kwa hali ilivyo mbongo hata akiuliwa marekani hamna kitu watafanya kufuatilia haki zake za msingi😅 wao watasikitika tu kama serikali na kuliacha liende tu!Sisi ndiyo Watanzania, wanakwambia sasa serikali ifanye nini wakati kuna ukame ni mapenzi ya Mungu. Mimi nikasema sasa bora serikali isiwepo tuishi kwa mapenzi ya Mungu
Kwakweli mkuu mambo ya hii nchi yanafurahisha. Itachukua miaka mingine 100 watu kujielewa. Mimi mwenyewe neema ikiniangukia nikawa waziri nakula nchi maana raia hazijui haki zaoSerikali inajiona haina wajibu wa kumletea mwananchi maendeleo! Yani kwa hali ilivyo mbongo hata akiuliwa marekani hamna kitu watafanya kufuatilia haki zake za msingi😅 wao watasikitika tu kama serikali na kuliacha liende tu!