Hali yazidi kuwa tete kwa wakulima, mbolea kg 50 yafikia Tsh. 140,000

Ndugu zangu habarini, kuna kitu kinanisononesha Sana katika vipaumbele vya serikali ili kumletea mwananchi maendeleo, naona vipaumbele vikuu ni miundombinu ambayo mwisho wa siku huwezi kuigeuza kuwa chakula, hatuwezi kula daraja la Salenda, wala hatuwezi kula ndege zilizoagizwa na zilizonunuliwa, wananchi hawawezi kuzigeuza kuwa ugali au kitoweo nafikiri ni anasa tu.

Inanisikitisha Kama tuna pesa ya kununua ndege cash lakini hatuna pesa ya kuagiza mbolea ili kusaidia kilimo Cha nchi hii, waziri mkuu anasema wananchi wanaoingiza mbolea kutoka nchi jirani wasizuiwe swali ni je hizo nchi jirani zinatoa wapi hiyo mbolea,,tuacheni utani huu ni msimu wa kilimo unaoweza kuwa mbaya zaidi kuwahi kutokea Jana nilikuwa rukwa wilaya ya kwela mbolea ni 140,000 tafakari
 
Ndugu zangu habarini ,Kuna kitu kinanisononesha Sana katika vipaumbele vya serikali ili kumletea mwananchi maendeleo,naona vipaumbele vikuu ni miundombinu ambayo mwisho wa siku huwezi kuigeuza kuwa chakura,hatuwezi kula daraja la salenda ,Wala hatuwezi kula ndege zilizoagizwa na zilizonunuliwa ,wananchi hawawezi kuzigeuza kuwa ugali,au kitoweo nafikiri ni anasa tu,,inanisikitisha Kama tuna pesa ya kununua ndege cash lakini hatuna pesa ya kuagiza mbolea ili kusaidia kilimo Cha nchi hii,waziri mkuu anasema wananchi wanaoingiza mbolea kutoka nchi jirani wasizuiwe swali ni je hizo nchi jirani zinatoa wapi hiyo mbolea,,tuacheni utani huu ni msimu wa kilimo unaoweza kuwa mbaya zaidi kuwahi kutokea Jana nilikuwa rukwa wilaya ya kwela mbolea ni 140000 tafakari
Lete manenooooo! (In JK's voice!)
 
Mda Ukifika Tutaongea Lugha Moja
 
hivi ile ya pale minjingu ni mbolea gani mkuu.
Minjingu ni ya kiwandani zamani ilikuwa inachimbwa tu na kupakiwa kwenye mifuko bila maboresho sana.

Mwamba/mchanga uliopo una phoshate pekee, kwa hio ilikuwa ni kwa ajili ya kupandia tu. Na kwa kuwa haijawa refined, ufanyayi kazi wake ni taratibu sana, kwa miaka ya mwanzo unaweza sema kama unakuwa haujaweka mbolea.

Kwa sasa wameboresha kwa kuichakata katika muundo wa kuchukuliwa moja kwa moja na mizizi. Pia imeongezwa virutubisho vingine vikuu vya mmea; potassium na nitrojen ili kutengeneza NPK kamili.
 
Eti serikali ya wanyonge???
Hii sio serikali ya wanyonge wewe, ni ya wawekezaji zaidi sahizi tunaenda na mama mpaka 2035!
Mama anafungua nchi!

Mwacheni mama achape kazi jamani😅 mkimzingua atawazingua zaidi.

Yule jamaa alipokuwa anapambana mlimuita kichaa jiwe 😅dhalimu anachukia matajiri 😅 haya sasa pambaneni huyu tulie nae anapenda matajiri!
 
Nakwambia kila sekta kitu kinapanda, vioo vya madirisha vilikuwa vinauzwa 75000 sasa ni 170000, yani nikisikia akina mwigulu nabaki kushangaa mambo wanayosema na uhalisia mtaani.
Leo nimemskia waziri anasema eti wastaafu hawalipwi mafao yao kisa kuna waajiri walikuwa hawapeleki michango.
Nikajiuliza kuna wastaafu wengine mwaka wa 5 hawajalipwa.
Hawa jamaa bila kuwafanyia uchizi tutaendelea kulalamikia kwenye forums kama hivi
 
Jamani ila mama tunamlalamimia bure tu

Bora huyu wakupandisha bei kila kitu,magufuli alitunyima uhuru wa kuongea na aliongoza nchi kidikteta sana bora huyu anatupandishia bei anatupa umeme wa mgao lakini tupiga story kijiweni tukimsema hana shida yaani nchi imekuwa na demokrasia.

Tuna uhuru wa kuongea nadhani hili ni lamsingi zaidi kwa watanzania.
 
Minjingu ni ya kiwandani zamani ilikuwa inachimbwa tu na kupakiwa kwenye mifuko bila maboresho sana.

Mwamba/mchanga uliopo una phoshate pekee, kwa hio ilikuwa ni kwa ajili ya kupandia tu. Na kwa kuwa haijawa refined, ufanyayi kazi wake ni taratibu sana, kwa miaka ya mwanzo unaweza sema kama unakuwa haujaweka mbolea.

Kwa sasa wameboresha kwa kuichakata katika muundo wa kuchukuliwa moja kwa moja na mizizi. Pia imeongezwa virutubisho vingine vikuu vya mmea; potassium na nitrojen ili kutengeneza NPK kamili.
shukran mkuu ..
 
Habari za kazi Wana JF/wadau/wananchi? Huku kwetu DAP ni laki na elfu arobaini.140,000/=hivi kwa Bei hii kilimo kitafanyika mwaka huu?

Hebu tupaze sauti, tuwasaidie wakulima hali ni Tete msimu huu.
Wavumilie tuu yule mtu wao Rais wa viwanda kwa miaka 6 ya kuimbiwa pambio alishindwa kuweka Jiwe lolote la msingi hata la kuzugia kwenye kiwanda cha mbolea.JK alijenga minjingu ila yeye bila bila kwa maneno meengi..

Hata hivyo Mama Kwa miezi 7 ameshawishi wawekezaji 2 wanajenga viwanda vikubwa vya mbolea Dodoma na Mtwara kwa hiyo wavute subira next year mbolea itapatikana kwa bei nafuu..

Samia kazini 👇

Screenshot_20211123-111621.png

Screenshot_20211123-111536.png

Screenshot_20211123-111217.png

Screenshot_20211117-134136.png
 
Back
Top Bottom