Hali yazidi kuwa tete kwa wakulima, mbolea kg 50 yafikia Tsh. 140,000

Hehehehhe ndio maana mliitwa maiti! Na ukiandamana utakufa mwenyewe amna ambaye atahangaika na kukuunga mkono
Haaa mimi siwezi kuandaman kwasababu ya mtanzania mwenzangu, maana ukikamatwa wiki tu washakusahau wanaendelea na maisha kama vile hakuna kilichotokea.
Najua hata Mbowe haamini anachoona.
 
Haamini kabisa yani we unaenda jela wao unawaacha wanakusimanga ah kihele hele nae alitumwa😅
 
Sisi ndiyo Watanzania, wanakwambia sasa serikali ifanye nini wakati kuna ukame ni mapenzi ya Mungu. Mimi nikasema sasa bora serikali isiwepo tuishi kwa mapenzi ya Mungu
 
Serikali inajiona haina wajibu wa kumletea mwananchi maendeleo! Yani kwa hali ilivyo mbongo hata akiuliwa marekani hamna kitu watafanya kufuatilia haki zake za msingi😅 wao watasikitika tu kama serikali na kuliacha liende tu!
 
Kwakweli mkuu mambo ya hii nchi yanafurahisha. Itachukua miaka mingine 100 watu kujielewa. Mimi mwenyewe neema ikiniangukia nikawa waziri nakula nchi maana raia hazijui haki zao
 
Nchi ya kibepari hii acheni kulialia, ukiona mbolea bei juu kuliko mazao basi acha kulima nunua mbolea uuze.
 
Back
Top Bottom