Quartz360
Senior Member
- Mar 27, 2023
- 133
- 318
Siku hizi mitaa imepambwa na degrees za kutosha kutoka mavyuoni, Lakini cha ajabu vijana wamekua wakitia huruma kuliko hata aliyemaliza la saba, WANACHUO wengi wanapata taabu sana huku mtaani kuliko hata raia wa kawaida, kiukweli inahuzunisha
. Pale kijana anapotoka chuo na matarajio makubwa Lakini ghafla maisha ya mtaa yanazima ndoto zake.
Yapi matunda ya mfumo wetu wa Elimu? Au ni uzembe wa vijana kutojituma wawapo mtaani?
#MyCountryPeople
.
. Pale kijana anapotoka chuo na matarajio makubwa Lakini ghafla maisha ya mtaa yanazima ndoto zake.
Yapi matunda ya mfumo wetu wa Elimu? Au ni uzembe wa vijana kutojituma wawapo mtaani?#MyCountryPeople
.


