Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Jamani nyie si ndiyo mlikuwa mnasema mnaongoza nchi,Shemeji yenu akafariki,saizi amebaki shemeji yenu PM......[emoji3][emoji3]
Hhhahaha taifa lolote likiongozwa na mtu alowahi kuwa mwalimu basi litakuwa laajabu sana refer Kwa pombe alozikwa chato
 
Sitaki unijibu kwa kuwa akili huna,mm hata nikiacha kazi hii au nikapata fedha za kutosha bado sitaweza kuwa sahau walimu wangu ambao wamenifanya leo naandika,natoa hoja na mambo mengne
Walimu wako ndowamekufundisha uwe na akili zakishenzi kama hizi? Kweli washenzi wanafundisha washenzi wenzao
 
Mwalimu ana mda mwingi baada ya vipindi vyake ila haruhusiwi kutoka kituo cha kazi mpaka muda wa shule Kwa kutwa uishe yaani mpaka saa nane na nusu hata kama hana kipindi siku inampasa awepo, sasa wewe jifanye mjuaji uone walimu wenzako akiwemo na mkuu wako watakavyokusagia kunguni siku usipofika shuleni eti useme Sina vipindi nipo kitaa kufanya biashara zangu, kesho utakuta barua ya onyo kesho kutwa utapigiwa simu na afisa elimu upewe onyo siku ijayo utaitwa na kamati ya maadili Kwa utoro baada ya hapo utakatwa asilimia kumi na tano ya mshahara wako kama adhabu ikibidi utastopishwa kabisa mpaka TSC watakapoamua kukusamehe. Walimu Kwa walimu ni nyoka
Roho mbaya imezidi miongoni mwa wakuu wa shule na maofisa wa halmashauri.
 
Kama taarifa hii ni ya kweli. Hii ni hatari sana kwa taifa. Taifa linalopuuza walimu hilo ni taifa la wajinga.

Taifa huwa linaandaliwa shule siyo barabarani. Kama watu wanaoandaa taifa wanapuuzwa hiyo ni hatari sana.

Naomba kuishauri serikali ya mama itatue changamoto za walimu. Mama ni mpole na msikivu atawafariji walimu na kuwatia moyo. Msikate tamaa ndugu walimu nyakati njema zinakuja.
Tatizo walimu ni wengi sana.pia hukomoana wao kwa wao.
 
Wapo wengi sana hawa watu ila Hawana akili wanapigwa divide and rule kila mtu anakuwa kivyake
Yaani unakuta kiafisa tu kinatoka wilayani kinamfokea Mwalimu,hata kama wapo sawa level yao ya Elimu, ningekuwa Mwalimu nadhani ningekuwa nimetimuliwa muda maana ujinga wote,sijui kukesha na mwenge,kukaa road viongozi wanapopita ni kazi ya waalimu 😀
 
Back
Top Bottom