Hali ya Komredi Kinana

Hali ya Komredi Kinana

ufahamu wa kuchambua mambo wa JF member taratibu unakwenda ukipotea tatizo ni Mange kumfanya ndio mtafiti na mchambuzi. member sasa wamekuwa Wadaku sio tena watu wakuchambua maswala mbalimbali akili imeshakuwa mgando akili zimeshalemazwa na dada moja wa USA imefikia stage tukio linatokea kinondoni member wa JF anasubiri mtu wa USA ndio atakuwa na FACT zaid yake yeye member anayeishi magomeni...
Bravo
 
Alitumwa kwenda kutibiwa,...haijapata kutokea chini ya jua ajabu hili, na aliporudi hakuna kiongozi wa ccm aliekwenda kumpa pole hata Jokate jamani?! uongo mbaya sana.
 
Alitumwa kwenda kutibiwa,...haijapata kutokea chini ya jua ajabu hili, na aliporudi hakuna kiongozi wa ccm aliekwenda kumpa pole hata Jokate jamani?! uongo mbaya sana.
Mbavu zangu eeh
 
Mbavu zangu eeh
mkuu pole, huyu jamaa alizuia safari zote za nje hata wife wake alimtibu muhimbili tena baada ya kuanguka gafla tu ndai, ila Kinana aliekuwa buheri wa afya na kutaka kuongea na wana habari akaonekana mgonjwa wa kutwa India?! TZ ya maajabu.
 
Kulikuwa na sintofahamu kubwa ya alipo Katibu mkuu wa ccm Komredi Kinana... Yamesemwa mengi yamezushwa mengi mengine ya kweli na mengine ya uongo
Tukio la msiba mkubwa wa Arusha limemleta upenuni Komredi Kinana, akionekana mwenye afya na siha iliyotakata....Ni matumaini yetu sasa atarudi ofisini baada ya likizo aliyopewa na chama kwasababu za kiafya (kwa mujibu wa bwana Polepole katibu mwenezi)

DAIMA UONGO HUPANDA LIFT LAKINI UKWELI HUKWEA NGAZI...
emoji779.png
emoji779.png
emoji779.png
emoji144.png
hahaha huyu mtunga uongo alijilostisha eti nimemtuma
 
mkuu pole, huyu jamaa alizuia safari zote za nje hata wife wake alimtibu muhimbili tena baada ya kuanguka gafla tu ndai, ila Kinana aliekuwa buheri wa afya na kutaka kuongea na wana habari akaonekana mgonjwa wa kutwa India?! TZ ya maajabu.

hahaha huyu mtunga uongo alijilostisha eti nimemtuma
Tumepata ajabu lingine la dunia
 
Kinana hakuwa anaumwa wala hajaenda India, yupo fiti labda aliumwa mafua
 
Back
Top Bottom