ukiwa likizo huruhusiwi kwenda kwenye msiba...??Polepole kaumbuka sana, siku moja tu baada ya kusema Kinana kapewa likizo ya ugonjwa mgonjwa kaibuka, dah pole sana Polepole.
Katibu wenu Mashinji yuko wapi?Porepore
ukiwa likizo huruhusiwi kwenda kwenye msiba...??
Polepole alisema Kinana yuko likizo baada ya ugonjwa....Tatizo mmeshikiwa akili na mwebyekiti wenu aliyepiga zero.
Nimeamini yale maneno yako kwamba Komredi atakuwepo msibani BTWKatibu wenu Mashinji yuko wapi?
Swali hujibiwa kwa jibu...Nimeamini yale maneno yako kwamba Komredi atakuwepo msibani BTW
Hili la mashinji huku linahusikaje ?
Kulikuwa na sintofahamu kubwa ya alipo Katibu mkuu wa ccm Komredi Kinana... Yamesemwa mengi yamezushwa mengi mengine ya kweli na mengine ya uongo
Tukio la msiba mkubwa wa Arusha limemleta upenuni Komredi Kinana, akionekana mwenye afya na siha iliyotakata....Ni matumaini yetu sasa atarudi ofisini baada ya likizo aliyopewa na chama kwasababu za kiafya (kwa mujibu wa bwana Polepole katibu mwenezi)
DAIMA UONGO HUPANDA LIFT LAKINI UKWELI HUKWEA NGAZI...![]()
![]()
![]()
![]()
Nchi hii ina vijana WAPUUZI kweli kupita maelezo including mleta MADA....sasa what do you want to tell us hapa??????maana ukisoma vizuri andiko lako ni kwamba kinana Ana mgomo wa KURUDI OFISINI......yaani hamanaga vitu vya maana vya kudiscuss tofauti na stori za CCM kila kukicha
Lengo lenu ni kutaka kuona CCM iliyo vipande vipande.......hiyo msahau kabsa.....
how crazy are you??Nchi hii ina vijana WAPUUZI kweli kupita maelezo including mleta MADA....sasa what do you want to tell us hapa??????maana ukisoma vizuri andiko lako ni kwamba kinana Ana mgomo wa KURUDI OFISINI......yaani hamanaga vitu vya maana vya kudiscuss tofauti na stori za CCM kila kukicha
Lengo lenu ni kutaka kuona CCM iliyo vipande vipande.......hiyo msahau kabsa.....
Sana tu ccm lazima ibongoronyoke ili watanzania tuwe huruNchi hii ina vijana WAPUUZI kweli kupita maelezo including mleta MADA....sasa what do you want to tell us hapa??????maana ukisoma vizuri andiko lako ni kwamba kinana Ana mgomo wa KURUDI OFISINI......yaani hamanaga vitu vya maana vya kudiscuss tofauti na stori za CCM kila kukicha
Lengo lenu ni kutaka kuona CCM iliyo vipande vipande.......hiyo msahau kabsa.....
Nchi hii ina vijana WAPUUZI kweli kupita maelezo including mleta MADA....sasa what do you want to tell us hapa??????maana ukisoma vizuri andiko lako ni kwamba kinana Ana mgomo wa KURUDI OFISINI......yaani hamanaga vitu vya maana vya kudiscuss tofauti na stori za CCM kila kukicha
Lengo lenu ni kutaka kuona CCM iliyo vipande vipande.......hiyo msahau kabsa.....
ufahamu wa kuchambua mambo wa JF member taratibu unakwenda ukipotea tatizo ni Mange kumfanya ndio mtafiti na mchambuzi. member sasa wamekuwa Wadaku sio tena watu wakuchambua maswala mbalimbali akili imeshakuwa mgando akili zimeshalemazwa na dada moja wa USA imefikia stage tukio linatokea kinondoni member wa JF anasubiri mtu wa USA ndio atakuwa na FACT zaid yake yeye member anayeishi magomeni...
Moving the goal post technique!Ila hakuwa na uso wa furaha. Kuna kitu lazima, wala si ugonjwa
Sasa povu la nini Bashite? Truth is...Kinana hapendi upuuzi wenu na alikwishajiuzulu!Nchi hii ina vijana WAPUUZI kweli kupita maelezo including mleta MADA....sasa what do you want to tell us hapa??????maana ukisoma vizuri andiko lako ni kwamba kinana Ana mgomo wa KURUDI OFISINI......yaani hamanaga vitu vya maana vya kudiscuss tofauti na stori za CCM kila kukicha
Lengo lenu ni kutaka kuona CCM iliyo vipande vipande.......hiyo msahau kabsa.....
wasiojielewa bwanaa,Nchi hii ina vijana WAPUUZI kweli kupita maelezo including mleta MADA....sasa what do you want to tell us hapa??????maana ukisoma vizuri andiko lako ni kwamba kinana Ana mgomo wa KURUDI OFISINI......yaani hamanaga vitu vya maana vya kudiscuss tofauti na stori za CCM kila kukicha
Lengo lenu ni kutaka kuona CCM iliyo vipande vipande.......hiyo msahau kabsa.....