Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,098
- 828,943
- Thread starter
- #21
MstakariHonest sina muda wa kubishana na nyie......maana mnacheza mziki wa CCM kwa kutikisa vichwa bila ya nyie wenyewe kujitambua.......KESHO TENA POLE POLE asipoonekana ofisini mtacheza tena MZIKI WA CCM huku siku zinazidi kuyoyoma na kushindwa kuhoji mambo ya msingi kwa mstakari wa NCHI HII......kwa mfano tu....ikitokea KINANA akajiuzulu CCM hiyo itakuwa na impact ipi kwa mustakari wa maisha ya MTANZANIA????????....SHAURI ZENU NA UPUUZI WENU
Mustakari ni misamiati gani hii?