Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,640
- 729,666
Kulikuwa na sintofahamu kubwa ya alipo Katibu mkuu wa ccm Komredi Kinana... Yamesemwa mengi yamezushwa mengi mengine ya kweli na mengine ya uongo
Tukio la msiba mkubwa wa Arusha limemleta upenuni Komredi Kinana, akionekana mwenye afya na siha iliyotakata....Ni matumaini yetu sasa atarudi ofisini baada ya likizo aliyopewa na chama kwasababu za kiafya (kwa mujibu wa bwana Polepole katibu mwenezi)
DAIMA UONGO HUPANDA LIFT LAKINI UKWELI HUKWEA NGAZI...