Hali yake inaendelea vizuri sana kwani alikuwa anasumbuliwa na Sukari kwa mujibu wa Wa Zanzibar waliopo Secundrabad walipomtembela.
Inshallah Allah atayaondosha maradhi yako haraka na uweze kurudi na kungana nasi.
Mungu amlinde!!!!Wasiwasi na tetesi zilizagaa Visiwani Zanzibar wiki iliopita kuhusu hali ya kiafya ya makamo wa kwanza wa rais wa visiwani humo, Maalim Seif Shariff Hamad, baada ya kujulikana alilazwa hospitalini Hyderabad,nchini India.
Kutaka kujua vipi hali ya mwanasiasa huyo inavyoendelea na ugonjwa aliokuwa nao, Othman Miraji wa Sauti ya Ujerumani alizungumza naye alasiri ya jana akiwa hospitalini.
Multimedia - DW-WORLD.DE
Wote tupo kwenye njia hiyo hiyo hata wewe binafsi na hata Yesu alikufa seuse maalim . wanachoogopa watu ni kutangulia.
Maria;Zaburi:23[/INDENT]
Inabidi arudi aende kwa Babu Loliondo.
Si kila ugonjwa unatibika Tanzania,na wala haijalishi mgonjwa gani apelekwe nje au la ikiwa ana ugonjwa usiotibika hapa nchini,Cha muhimu amuombeaye mwenzake na mungu humlipa kama vile alivyomwombea mwenzake.Nyongo inanipanda kusikia viongozi wetu wanakwenda kutibiwa nje ya nchi, ninatamani hata Mungu awalaani wafie huko huko kwani wanatumia ma-milioni ya dola za kimarekani kwa ajili ya matibabu nje ya nchi wakati wangeweza kujenga hosipitali hizo nchini kwetu kwa faida ya Watanzania wote !!! Kwa nini hamfi mapema ili waje viongozi wenye uchungu na nchi yao watakaojenga hosipitali hapa nchini zitakazowafaidisha watanzania wote ????
Nyongo inanipanda kusikia viongozi wetu wanakwenda kutibiwa nje ya nchi, ninatamani hata Mungu awalaani wafie huko huko kwani wanatumia ma-milioni ya dola za kimarekani kwa ajili ya matibabu nje ya nchi wakati wangeweza kujenga hosipitali hizo nchini kwetu kwa faida ya Watanzania wote !!! Kwa nini hamfi mapema ili waje viongozi wenye uchungu na nchi yao watakaojenga hosipitali hapa nchini zitakazowafaidisha watanzania wote ????
rip :rain::rain:
Kijana vipi, munkari huo wote uliposikia Hamad kaenda India kutazama afya yake, Kwa taarifa yako tu Maalim Seif ni kawaida yake kucheki afya yake nje ya nchi kabla hata hajawa Makamo wa rais na wala hahitaji fedha ya chama kumpeleka huko (hili nina hakika nalo) seuze ya serikali.
Leo ndgu zetu mshasahau nchi hii ilivyorithishwa ufisadi tokea enzi za "mwalimu"?
Fedha ya baba wenu wa taifa kutengeneza meno yake nje ya nchi aliitowa wapi?
Fedha ya matibabu yake S.t Thomas aliitowa wapi? kwanini asitibiwe Muhimbili? Hivi Nyerere kakaaa madarakani miaka zaidi ya 20 ameshindwa kutengeneza miundo mbinu ya kitabibu ili viongozi wa serikali angalau watibiwe hapa hapa nchini na kunusuru fedha za mwananchi?
Haya tuseme haikuwezekana kwa kuwa yeye kazi yake ilikuwa ukombozi tu, basi hata maziko yake ndiyo yagharimu mabilioni ya fedha za mlipa kodi na kupindukia ghrama za mazishi ya Mfalme Asad wa Syria au Fahad wa Saudi Arabia, nchi ambazo ni tajiri kuliko Tanzania?
Kama Nyerere, mwalimu, kafanya na kufanyiwa hayo kawanini wengine wasifanye na kufanyiwa wakati misingi ya uongozi na mfano bora wa uongozi inadaiwa kutandikwa na yeye? kwanini isifuatwe? Ama kweli Nyani halioini ku****le!
RIP :rain::rain:
Dua la kuku halimpati mwewe.
Pole sana.
Have a quick death man