Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,003 Mar 8, 2011 #41 Its high tym forme to reserve my comments!
EMT Platinum Member Joined Jan 13, 2010 Posts 14,477 Reaction score 15,347 Mar 8, 2011 Thread starter #42 HM Hafif said: Hali yake inaendelea vizuri sana kwani alikuwa anasumbuliwa na Sukari kwa mujibu wa Wa Zanzibar waliopo Secundrabad walipomtembela. Inshallah Allah atayaondosha maradhi yako haraka na uweze kurudi na kungana nasi. Click to expand... Mbona wengine wanasema alikuwa anasumbuliwa na miguu? Na kasema amefanyiwa operation sasa anaweza kutembea wenyewe.
HM Hafif said: Hali yake inaendelea vizuri sana kwani alikuwa anasumbuliwa na Sukari kwa mujibu wa Wa Zanzibar waliopo Secundrabad walipomtembela. Inshallah Allah atayaondosha maradhi yako haraka na uweze kurudi na kungana nasi. Click to expand... Mbona wengine wanasema alikuwa anasumbuliwa na miguu? Na kasema amefanyiwa operation sasa anaweza kutembea wenyewe.
popiexo JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 742 Reaction score 184 Mar 8, 2011 #43 Ameula wa chuya, wenzake wanaenda Loliondo yeye kaenda India. Atarudi akiitwa jina lingine, the late.
Ameula wa chuya, wenzake wanaenda Loliondo yeye kaenda India. Atarudi akiitwa jina lingine, the late.
M Mfwatiliaji JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 1,322 Reaction score 69 Mar 8, 2011 #44 Mbona Dr Slaa analazwa na kutibiwa muhimbili?
F Froida JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 8,768 Reaction score 3,237 Mar 8, 2011 #45 Hata yeye aliwahi kuugua akalazwa na kutibiwa Hindul Mandal akapona arudi bwana
mgen JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 23,254 Reaction score 9,168 Mar 9, 2011 #46 Speaker said: Have a quick death man Click to expand... Speaker wa wa viwango na kanuni.
Gagurito JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 5,600 Reaction score 811 Mar 9, 2011 #47 Umri nao umeenda, pia kapambana sana yule mzee, 20yrs struggling duh!