Hali ya Kiafya ya Seif Shariff Hamad | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ya Kiafya ya Seif Shariff Hamad

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EMT, Mar 8, 2011.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Wasiwasi na tetesi zilizagaa Visiwani Zanzibar wiki iliopita kuhusu hali ya kiafya ya makamo wa kwanza wa rais wa visiwani humo, Maalim Seif Shariff Hamad, baada ya kujulikana alilazwa hospitalini Hyderabad,nchini India.

  Kutaka kujua vipi hali ya mwanasiasa huyo inavyoendelea na ugonjwa aliokuwa nao, Othman Miraji wa Sauti ya Ujerumani alizungumza naye alasiri ya jana akiwa hospitalini.

  Multimedia - DW-WORLD.DE
   
 2. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Pole kwa kuugua na ninakuombea upone haraka ili uweze kuendelea na shughuli zako za kila siku.
   
 3. Wed

  Wed JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 60
  Nyongo inanipanda kusikia viongozi wetu wanakwenda kutibiwa nje ya nchi, ninatamani hata Mungu awalaani wafie huko huko kwani wanatumia ma-milioni ya dola za kimarekani kwa ajili ya matibabu nje ya nchi wakati wangeweza kujenga hosipitali hizo nchini kwetu kwa faida ya Watanzania wote !!! Kwa nini hamfi mapema ili waje viongozi wenye uchungu na nchi yao watakaojenga hosipitali hapa nchini zitakazowafaidisha watanzania wote ????
   
 4. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Inabidi arudi aende kwa Babu Loliondo.
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  RIP :rain::rain:
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Tehe tehe tehe!
   
 7. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,726
  Likes Received: 3,144
  Trophy Points: 280
  Hahahhahhahahah!!!Maria Roza umekosea kusoma au ni aje?? imebidi nicheke kwanza lakini nimekusoma vyema.
   
 8. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Neno la leo!
   
 9. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Sawa sawa! vip why not Muhimbili mpiganaji wa enzi hizo?? Sawasawa??
   
 10. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Alichokuwa anapigania ndiyo hicho! Sasa ana FULL-ACCESS na Hyderabad na St Thomas na e.t.c!
   
 11. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mi namshauri arudi aende loliondo kwa babu
   
 12. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  JK yupo kwa Babu, huyu nae yupo India...duh, itafahamika tu
   
 13. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Hivi yale magari ya serikali yaliyosemekana yameenda Loliondo kwa babu ni safari za kikazi au binafsi???
   
 14. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,159
  Likes Received: 1,892
  Trophy Points: 280
  Inamaana amemkimbia Okampo?
   
 15. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hali yake inaendelea vizuri sana kwani alikuwa anasumbuliwa na Sukari kwa mujibu wa Wa Zanzibar waliopo Secundrabad walipomtembela.

  Inshallah Allah atayaondosha maradhi yako haraka na uweze kurudi na kungana nasi.
   
 16. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wote tupo kwenye njia hiyo hiyo hata wewe binafsi na hata Yesu alikufa seuse maalim . wanachoogopa watu ni kutangulia.
   
 17. yatima

  yatima JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mhhhhhhhhh - ngoja wengine tule vitunguu swaumu manake kwenda India ngumu. Na sie ndio tunaponaga bila shida

  MUNGU ANAWAJUA WANYONGE - hata hivyo tunamtakia kupona KISUKARI
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wengine hawajengi hata nyumba za kufikia huko makwao unadhani watawajali maskini waliowazunguka??
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Athali za Muafaka hizo! RIP wanademokrasia tutakukosa
   
 20. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Have a quick death man
   
Loading...