hali ya hewa hapa MMU

hali ya hewa hapa MMU

mtu mpumbav muache na upumbavu wake sister....

Kuna wengine humu tulijaribu kukemea tabia za ushoga , bahati mbaya tukaishia kufunguliwa threads za kashfa...
Mbaya zaidi hawa ambao tunashinda nao humu hakuna hata mmoja aliyethubutu kuunga mkono kampeni hiyo wakawa wanaishia ama kuwagwaya au kuwachekeachekea hao mafirauni...
na hii tabia ndio imeibuka sasa hivi. Mtu akiweka madambovu ukikemea unakashfiwa na kutusiwa kama mie ndo nimetusiwa/kukashfiwa mpaka basi kisa nilikemea usagaji khaaaa!!
 
kinachonishangaza ni pale ambapo pamoja na matusi yetu kwa jinsia kinzani ukifika wakati wa kuhitaji huduma yake hadi machozi yanatoka

unajua dunia haiwez kuwa dunia ukiondoa wanawake wote hata siku moja manake maisha yatasimama lazima tuu.

Lkn ukiondoa wanaume wote leo hii life will perpetuate na hapo ndipo ujue umuhimu wa wanawake
 
Yaani wewe pita kimya kimya nisije kuongea yasioongeleka

kwa kifupi mazoea na watu kama nyie SITAKI KABISA.PERIOD.........

usiwe na hasira na mtu usie mjua mkuu.........utamtukana kumbe mnapishana kila sk mlangon tuliaaa bby eeee!
 
unajua dunia haiwez kuwa dunia ukiondoa wanawake wote hata siku moja manake maisha yatasimama lazima tuu.

Lkn ukiondoa wanaume wote leo hii life will perpetuate na hapo ndipo ujue umuhimu wa wanawake
hapa labda unishawishi zaidi best, mimi naamini (bila kwenda kwenye imani za kidini) kwamba wote tunategemeana
 
unajua dunia haiwez kuwa dunia ukiondoa wanawake wote hata siku moja manake maisha yatasimama lazima tuu.

Lkn ukiondoa wanaume wote leo hii life will perpetuate na hapo ndipo ujue umuhimu wa wanawake
gfsonwin HOW!!!!!!!as long as linahusiana na mada husika naomba unieleweshe......
 
Last edited by a moderator:
kutaja majina ya watu ndio sio poa ila mada kama inakanya watu mbona haina shida,mtu akisema wasichana hamaanishi wote inatakiwa aseme baadhi ili aepukane na fallacy of generalization but kiujumla jukwaa liko poa na mada ikikugusa tafuta maji unywe ulale,mimi binafsi huwa najifunza mengi na sikasiriki...unatakiwa ujifunze kujicontrol don't think that every thread is for u,we are here to exchange ideas and feelings.tusiwe washamba sindano inauma ila inadawa inayotibu hatuwezi furahia wakati wengine wanaumia katika mahusiano na tiba ipo. likiongelewa suala la vibamia na mimi ni mwanaume sitakasirika ntatoa ushauri kwa wenye vibamia.
 
Nikiangalia 'join dates' za wengi mliochangia huu uzi na kuonyesha kukerwa kwenu na baadhi ya mada zitundikwazo humu, naona wengi wenu ni wa kuanzia 2010 hadi 2013.

Hivyo kimlinganisho nyie bado ni wapya sana na pengine bado hamjakomaa vya kutosha kuweza kustahimili anuwai za mitazamo tofa na uti ya tajiriba za kimaisha na kibinadamu.

Ni nadra sana kukuta wakongwe wa humu wakilalama juu ya aina za mada zitundikwazo kwenye haya majukwaa ya JF. Huwa wanapita, na wakati mwingine huchangia, lakini kukuta wanaanzisha nyuzi kulalama ni tukizi kwa sababu wameshapevuka kiuvumilivu.

Kama ule msemo wa 'akikua ataacha' ulivyo, na nyie itafika kipindi mtakomaa na kuiva kiuvumilivu na mambo kama haya yaliyoelezwa kwenye huu uzi wala hayatawakwaza kihivyo tena.

Kila la kheri kwenye hiyo safari isiyo na mwisho ambayo ina kila aina za changamoto zinazoweza kufikirika.
 
Tuukubali ukweli kwamba hapa pana wengi, na penye wengi pana mengi. Mahali ambapo umechanganya ng'ombe , mbuzi, chura , paka, mende, kifaru na wengineo usitegemee madogo. JF imeingia mbulula wengi sana mwaka jana na mwaka huu (sio wote ila ukweli kuna mbulula sana). so tukubali yote
 
Kama anataka kujua hilo aniulize mimi si eti, teh teh teh.
Makubwa kumbe nimeambiwa mimi GOGO lahaula .......wew mgiriki ulishanilala ukajua mimi ni GOGO!!!!

ni ujinga sana MMU imekuwa full Majungu...,Mipasho.......Zahara white kawatoa Imani sana.........

Kuna mda unatamani hata uende Jukwaa la SIASA labda utajua nchini kwako nini kinaendelea........
 
Hakika sikujua kama kuna mambo ya jinsi hii hapa MMU . Mkuu asante kwa ushauri naamini wahusika watajirekebisha
 
Wadau, nadhani tatizo tumelifuga wenyewe

Hii tabia ipo tu, na imekua perpetuated zaidi na style ya mipasho ya namna fulani ambayo naona hata mleta mada bado anaifumbia macho... we need to educate each other with love, dignity and support. Hilo halipo katika majority ya threads, na baadhi ya members wakongwe wameamua kukukaa kando na kupisha mashuti ya kudharauliana na kubutuana yaendelee kwani ni lazima walioasisi hili ni watoto wanaojaribu kupambana na utineja na ujana mcharuko (21-28 years)

Labda yatapita, lakini basi ili yapite vyema, hata tunaonyoosha vidole tuwe neutral and fair

Probably the best advice imetoka kwa babu DC, waache wachafuke... ili wajifunze
 
mara vibamia, mara magogo, mara papuchi chafu zinanuka, mara wanaume wanapenda kulelewa, perfomance F.., mara wanaume under 35 wanaboa, mara wanawake tegemezi, e.t.c haya ndo yanajadiliwa humu MMU KWELI SASA INABOAAAA
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahah...
Inakuwaje maisha haya fake yanawafanya muwe so concerned kiasi hiki bandugu...

gfsonwin mbona hizo comment humu ni za kawaida sana afu hivo vitoto unavipopotezea tu au unareport abuse.
Afu kumbuka bana wote hatuwezi kuwa malaika wasumbufu lazima wawepo mi napenda lara 1 anavyopambana nao mmoja mmoja
 
Last edited by a moderator:
Hahah...
Inakuwaje maisha haya fake yanawafanya muwe so concerned kiasi hiki bandugu...

gfsonwin mbona hizo comment humu ni za kawaida sana afu hivo vitoto unavipopotezea tu au unareport abuse.
Afu kumbuka bana wote hatuwezi kuwa malaika wasumbufu lazima wawepo mi napenda lara 1 anavyopambana nao mmoja mmoja
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndipo utamjua mwanamke mwenye busara,mleta mada kanyoosha mikono juu na kusema ''basi yatosha''.ukweli usiopingika nyie wakina dada ndio mlianza kurusha mawe kwa wakaka,mkasahau kwamba mnaishi kwenye nyumba za glass...kuna mdada mmoja yeye nyuzi zake zote huwa ni kuwakosoa,shambulia,kejeli hata kudhihaki wakina kaka(lara1) sijataja id kwa ubaya but huyu dada amekuwa mwiba sana kwa wakaka... Thats why wakaka nao wameamua ku hit back kwa risasi za moto..cha msingi inapaswa kushtuana na kurekebishana lakini sio kuwadhalilisha mama zetu..mimi ninacho omba protokali izingatiwe,dada ki fire live bullet,then ajibiwe kwa live bullet..tueshimiane mwanaume is always the head of the house,respect kwake muhimu hata kama wewe mdada ndio bread winner..pia wakaka lets behave,wanaume tuna boundaries,wanaume huwa hatusemi sana,beijing conferance ishatupunguza makali.
 
kweli humu ndani pamevurugwa. hebu jukwaa lifungwe kwa muda tukemee pepo.
 
Mleta mada,ungehit pande zote ingekuwa poa zaidi.complain umewarushia wakaka sana,umesahau wakaka wanavyoshambuliwa humu,mimi kuna mdada lara 1 huyu dada nyuzi zake nazipenda sana,always anafire live bullets arembi wala hana magumashi,mada zake zina changamoto sana..ni ukweli usiopingika yasemwayo humu yapo..ukiguswa soma coments ujirekebishe au ujifunze
 
Back
Top Bottom