hali ya hewa hapa MMU

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,673
Wana jamvi, polen na hongeren kwa kazi za siku ya leo.

Wapendwa wangu naomba nichukue nafasi hii kuongelea hali ya hewa hapa MMU. Kwa wale ambao ni wagunduzi watagundua kwamba hali si shwari kabisa hapa MMU kwani kumekuwako na hali ya ugomvi kati ya dadaz na kakaz.

mada nyingi sana wanazoanzisha wakaka utakuta nizakuponda wadada, kuongelea tupu za kike, mara sijui ugogo mara sijui makwapa ya akina dada jambo ambalo linakera na kuudhi wale watu wasiopenda agomvi ama udhalilishaji. hali hii ilitufanya baadhi ya wanawake humu jamvini tuwe tunatoa koment za kushutumu mtoa mada kwa aina ya mada aloiweka hata hivyo akina dada walikaa mbali na kuuacha ukumbi utawaliwe na akina kaka. ingawa hali iliendelea hivi lkn akina dada tulikuwa wavumilivu na wenye nidham kwamba tusijibizane na akina kaka manake pia isingetusaidia jambo lolote.

Siku ya leo lara 1 aliamua naye ama kwa kujua ama kwa kutokujua kuweka mada akielezea juu ya kibamia, mada hii iliandikwa namna ambayo haikumdhalilisha mtu na wala haikuwa na lengo la kujibizana na akina kaka,cha ajabu kabisa katokea memba mwingine kaweka mada ya kuponda akina dada na istoshe akaja memba mwingine sijui ni yy mtoa mada ama ni mwingine mwenye ID mgiriki yeye alidiriki kabisa kutaja ID za membaz akidai eti ni magogo alimention lara 1, Madame B, Heaven on earth, mimi49 et al.

sasa jamani kweli mtu usomjua unamention kwenye mada as if uliwah kumwona ni gogo kweli mnatutendea haki nyie makaka?? na je jamvi hili ni uwanja wa mapambano kati ya dadaz na kakaz? kama ndivyo basi leo hii iwekwe wazi kwamba jamvi hili limebadilika sura.

Ladha ya MMMU kwa sasa hakuna kabisa. Siku nzima mtu unashinda humu hakuna mada zenye kuimarisha ama kujenga mahusiano zaid ya kubomoa kwa kuwasema wadada tuuu kujadili papushu zao tuuuuuu, mara makabila, mara kazi, mara kipato mara makundi jamani kweli hii ndiyo dhamira ya hili jukwaa??

Kama ndivyo basi leo hii tujue kwamba mmu ni uwanja wa kujadili maumbile na uumbaji wa Mungu na sio mahala pa kujengana kimahusiano na hivyo watu wasiingie ndani ya hili jukwaa kama hawapendi mada zenye kudhalilisha.

mada nyingine unabofya report abuse lkn sijui mods wanazidiwa na kazi wanachelewa hadi mada inajikuta iko pg 3 kuendelea inatia hasira sana kuona jukwaa linaharibika ama linaharibiwa na watu wachache.

Mods please sasa mkiona mada inayolenga kujadili wanwake ama wanaume isomen kwanza mkiona haina mashiko msiiweke ili watu wajifunze kuja na mada zenye mashiko.

Jioni njema
gfsonwin
 
Last edited by a moderator:

Pole dada mpenzi. Ndio mambo ya wengi! Lakini penye wazee haliharibiki neno. Habari za hapo kwetu. Huku tunawapenda sana.
 
asante sana sana kaka yangu.
ni kweli mtu mzima dawa na ndio hapa tujaribu kutibu haya maradhi yanayojitokeza taratibu kabla hayajawa donda ndugu.
huku kwetu kwema nasi twawapenda sana salam kwa babu na martha
 
Mh! Ni kweli BUT wewe mwenyewe ni m'bishani mzuri tu, kutetea wadada! Sometimes ni kweli tupu inayoongelewa!
...
Also hii siredi yenyewe inapiga kombora mababa!!!!!

kweli tupu inayoongelewa wapi kwenye makwapa ya wanwake ni meusi?? ama sijui wanwake waongeaji ni magogo kitandani?? godforbid.
kutetea wadada ni lazima manake adhalilishwapo mdada na mie pia nadhalilika na ndio mana hujawah nikuta namdhalilisha mkaka manake najua namdhalilisha kuanzia baba yangu mzazi hadi wanangu wakuwazaa
 
basi rekebiken mkue, unapomdhalilisha mwanamke ujue unamdhalilisha hata mama yako mzazi, na unapomdhalilisha mwanaume basi unamdhalilisha baba yako mzazi.

Dada tumekusikia.. tutajirekebisha ili tukue ...ila mimi mwalimu wangu ni KakaKiiza[h=5][/h]
 
Last edited by a moderator:
poleni mlioguswa. Mi mara zote sipendi kulalia upande mmoja na mara zote naweza kusoma uzi mwanzo mwisho nikatulia kimya. Ukweli ni kwamba kuna nyuzi zinasema sana hadi mchangiaji unajisikia hovyo.

hapa wala sio swala la kuguswa manake ingekuwa nasemwa mtu mmoja ingekuwa sawa ila swala ni watu kuona kama kuwa mwanamke ni dhambi na ni kosa kila siku kuongelea wanwake tena kweye yale yanayodhalilisha. Mie huwa siku nyingine naamua tu kusoma na kunyamaza lkn leo nimeboreka nikaona nisife na kijiba cha roho
 
nyie wadada ndio mlioanza kumwaga ugali...wakaka wakamwaga mboga.
 
Back
Top Bottom