Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,337
- 108,421
Naanza kupata hisia kuwa there is something going on behind keybord......!!!!!!!!
Ha ha ha.....nami pia mkuu.
Sisi wacha tuendelee tu kusoma na kuguna, wenye makucha wacha wararuane!!!
Naanza kupata hisia kuwa there is something going on behind keybord......!!!!!!!!
...haaa! mbombo jilipo jamani!!! kwahiyo ndo mmefikia huku!?..haya hongera zenu, sie tunawaangalia tu
hakika wewe umenena...Ha ha ha.....nami pia mkuu.
Sisi wacha tuendelee tu kusoma na kuguna, wenye makucha wacha wararuane!!!
Ha ha ha.....nami pia mkuu.
Sisi wacha tuendelee tu kusoma na kuguna, wenye makucha wacha wararuane!!!
Wakongwe tumehamia siasa kutoa stress huku hakufai tena
hebu angalia alieanza kumquote mwenzie ujingamkuu nimekuelewa bna,ngoja ninyamaze coz ukimya ni jibu tosha kwa mjinga...nimeepusha shari mkuu...asante kwa kuniepushia ban
Cantalisia kwema huku?? ni salamu tu my dear! napita zangu mie!Kaka Fidel80 za masiku!!!
Mie nimehamia zangu Chit Chat huku napita tu nikikuta uzi ulio size yangu natoa maona napita zangu.