Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Uwiii basi shost poa alijirudi lakini mi sikumlazia damu!!
asante atleast U didi it for US!!!!!!!!!!!
Uwiii basi shost poa alijirudi lakini mi sikumlazia damu!!
alikumention kwemye uzi wa the choosen uangalie uzi wake wa leo. Lkn post imekuwa deleted uzi upo
They are na mie huwa nazipenda sana.....the thing is people cant argue WISELY........
bora dada umesema maana hata mi nimeshachoka kwa kweli,yaani kila siku vitu hivohivo tu watu hatujadili mambo mengine ya msingi,hata kama tunafudishana tusivunjiane heshima na tusikerane!yaani tena watu wanaoanzisha hizi sredi za ajabu isitoshe ni members walewale wanafanya kama kukomoa,halafu ukisema unaambiwa wewe ndo unakinukisha!
Bora dada umesema maana hata mi nimeshachoka kwa kweli,yaani kila siku vitu hivohivo tu watu hatujadili mambo mengine ya msingi,hata kama tunafudishana tusivunjiane heshima na tusikerane!Yaani tena watu wanaoanzisha hizi sredi za ajabu isitoshe ni members walewale wanafanya kama kukomoa,Halafu ukisema unaambiwa wewe ndo unakinukisha!
hapa wala sio swala la kuguswa manake ingekuwa nasemwa mtu mmoja ingekuwa sawa ila swala ni watu kuona kama kuwa mwanamke ni dhambi na ni kosa kila siku kuongelea wanwake tena kweye yale yanayodhalilisha. Mie huwa siku nyingine naamua tu kusoma na kunyamaza lkn leo nimeboreka nikaona nisife na kijiba cha roho
Sidhani kama unayosema yana ukweli ndani yake Mshinga huyu mtu alonimention mimi simjui wala hanijui kwa namna yoyote ile kwa maana hio sina siri yoyote yakunianika na alinimention anyways,Ameweka katika judgement yake kwamba kwasababu sikubali kudhalilishwa basi nitakuwa mjuaji na nipo kama gogo kitandani!Aisee sitokaa mtu anitusi ninyamaze kimya NEVER EVER!a point of correction.
sikubaliani na mtoa mada kuwa siku hizi hakuna mada za kujenga.
Nipota tayari kukusanya lundo la mada za ujumbe wa kujenga kama ushahidi nikaleta hapa.
NINACHOWEZA KUKUBALIANA NAE NI KWAMBA KUNA MADA AMBAZO ZIMECHAGIZA MALUMBANO HAYO nazo ni chache.
na kwenye hizo mada za kipuuzi binafisi huwa sitii mguu na sijachangia hata moja.
LAKINI UJUMBE UMEFIKA.
na ninafikiri kitu kibaya zaidi ni kutaja ID za watu japo inawezakana msemaji akawa anaushahidi mana sisi wengine ni watazamaji tu LAKINI KWA NINI AWEKE SIRI ZA WATU HAPA KWEUPE?
Nitakuwa nafanya hivyo kuanzia sasa!ukiona uzi unaboa na unavunja heshima wewe bofya kitufe cha report abuse hii itasaiddia kidogo vinginevo nyuzi za upuuzi tusichangie
ukisema kuna lundo za mada zenye kujenga hapa mmu tutabishana hadi kesho manake kama huamini rudi nyuma miaka 2 ilopita soma mada zilizokuwa hapa mmu linganisha na sasa.a point of correction.
Sikubaliani na mtoa mada kuwa siku hizi hakuna mada za kujenga.
Nipota tayari kukusanya lundo la mada za ujumbe wa kujenga kama ushahidi nikaleta hapa.
Ninachoweza kukubaliana nae ni kwamba kuna mada ambazo zimechagiza malumbano hayo nazo ni chache.
Na kwenye hizo mada za kipuuzi binafisi huwa sitii mguu na sijachangia hata moja.
Lakini ujumbe umefika.
Na ninafikiri kitu kibaya zaidi ni kutaja id za watu japo inawezakana msemaji akawa anaushahidi mana sisi wengine ni watazamaji tu lakini kwa nini aweke siri za watu hapa kweupe?
a point of correction.
sikubaliani na mtoa mada kuwa siku hizi hakuna mada za kujenga.
Nipota tayari kukusanya lundo la mada za ujumbe wa kujenga kama ushahidi nikaleta hapa.
NINACHOWEZA KUKUBALIANA NAE NI KWAMBA KUNA MADA AMBAZO ZIMECHAGIZA MALUMBANO HAYO nazo ni chache.
na kwenye hizo mada za kipuuzi binafisi huwa sitii mguu na sijachangia hata moja.
LAKINI UJUMBE UMEFIKA.
na ninafikiri kitu kibaya zaidi ni kutaja ID za watu japo inawezakana msemaji akawa anaushahidi mana sisi wengine ni watazamaji tu LAKINI KWA NINI AWEKE SIRI ZA WATU HAPA KWEUPE?
wala usikae kimya bofya report abusesidhani kama unayosema yana ukweli ndani yake mshinga huyu mtu alonimention mimi simjui wala hanijui kwa namna yoyote ile kwa maana hio sina siri yoyote yakunianika na alinimention anyways,ameweka katika judgement yake kwamba kwasababu sikubali kudhalilishwa basi nitakuwa mjuaji na nipo kama gogo kitandani!aisee sitokaa mtu anitusi ninyamaze kimya never ever!
mimi49 kuna vitu vingine unatamani kunyamaza lakin unaona hapana vinakera.........Sidhani kama unayosema yana ukweli ndani yake Mshinga huyu mtu alonimention mimi simjui wala hanijui kwa namna yoyote ile kwa maana hio sina siri yoyote yakunianika na alinimention anyways,Ameweka katika judgement yake kwamba kwasababu sikubali kudhalilishwa basi nitakuwa mjuaji na nipo kama gogo kitandani!Aisee sitokaa mtu anitusi ninyamaze kimya NEVER EVER!
jambo la msingi ni kuheshimu jinsia tofauti. Wanawake ndo maua ya dunia, hilo liko wazi. Lakini ili ua lichanue linatakiwa lipate maji, mbolea na kuondoa magugu, hapo ndipo wanaume tunapoingia. Sasa maua na mtunza bustani wanapokwaruzana kuna kinachobaki kweli?! Tujadili mada kwa kujenga na sio kudhalilishana bila kujali mada ni ya kibamia au kikwapa, na hiyo ndo maana ya kuwa great thinker and not the other way round (crazy thinker). Personally naheshimu sana wanawake simply b'coz men can't live with them and he also can't live without them! They are a bit mysterious! Poleni sana dada zangu mliotolewa kauli chafu na kaka zangu mliokwazika pia. Nang'ata bia kwanza, ntarudi baadae kidogo.