hali ya hewa hapa MMU

hali ya hewa hapa MMU

HAHAHAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!! Naona hii kesi MSHTAKIWA NAMBA 1 NI LARA 1!!!!!!!!!!!!!!!! Rutashobolwa naombauendeshehi hii kesi kimahakama kabisa na mimi NA PLEAD NOT GUILTY kwakuanzia kabisaaaa! Ikitakiwanijitete nitafanya hivo manake watu wanataka kuniangushia jumba bovu

GUILTY kwani wewe ndio umewaumba na hivyo vibamia vyao. Mtu kama ana kibamia abakie na kibamia chake na ndio uumbaji. Kila nyanja ya maisha watu wanazidiana, kwenye hela watu wanazidiana, vyeo wanazidiana na hata dushelele kuna wenye vibamia, wenye ndizi hadi wenye mkono wa mtu mkubwa a.k.a FC Libolo la punda.

Jamani wenye vibamia, msiwe na inferiority complex, kibamia kikitajwa tu mnakuja juu,,, au kuna wadada humu wameona vibamia vyenu kwa hiyo mnawaonea noma. Ha haaaah, mitalimbo oyeeeee
 
guilty kwani wewe ndio umewaumba na hivyo vibamia vyao. Mtu kama ana kibamia abakie na kibamia chake na ndio uumbaji. Kila nyanja ya maisha watu wanazidiana, kwenye hela watu wanazidiana, vyeo wanazidiana na hata dushelele kuna wenye vibamia, wenye ndizi hadi wenye mkono wa mtu mkubwa a.k.a fc libolo la punda.

Jamani wenye vibamia, msiwe na inferiority complex, kibamia kikitajwa tu mnakuja juu,,, au kuna wadada humu wameona vibamia vyenu kwa hiyo mnawaonea noma. Ha haaaah, mitalimbo oyeeeee

oyee mkuu
 
Teja utalijua tuu! Kapate dawa kwa mzizimkavu wewe! Katibu KIBAMIA hicho! Acha kudhalilisha mama zetu! pambaff!

ninawas was na ww lazma utakuwa sh o g a unahemewa mgongon ww ndo maana unawaka........
 
ninawas was na ww lazma utakuwa sh o g a unahemewa mgongon ww ndo maana unawaka........

Mi shoga kama babako mzazi!! Tiba ya VIBAMIA ipo wasiliana na Mzizimkavu! Acha kudhalilisha mama zetu mtoto wa kufikia wewe
 
Mi shoga kama babako mzazi!! Tiba ya VIBAMIA ipo wasiliana na Mzizimkavu! Acha kudhalilisha mama zetu mtoto wa kufikia wewe

halafu ---- ww nakutafuta kwa ham sana chunga domo lako hanis ww unaonekana ka dume kumbe sio rizik.....ntakucastrate nguruwe pori ww
 
Mmmh! Makubwa.......hii JF ya siku hizi imechange sana, na wengi wanaoharibu hili jukwaa wanatoka uso wa kitabu.
Kazi kwelikweli tutashuhudia mengi
 
Mmmh! Makubwa.......hii JF ya siku hizi imechange sana, na wengi wanaoharibu hili jukwaa wanatoka uso wa kitabu.
Kazi kwelikweli tutashuhudia mengi

Avatar yako hii usiitoe...
 
Umeona eeh.....
Ni kweli kabisa miaka ya nyuma JF-MMU ilikuwa ni darasa tosha kuhusu mahusiano lakini sio leo, nowdays watu wanakashifiana tu, mzaha umezidi, mtu analeta thread ya maana na ana shida kweli but watu wanamjibu kwa kejeli na utani mwingi, MMU hii sio ile ya 2006-2010



anachosema gfsonwin ni kweli kabisa na hasa wadada wa kutoka kule Kaskazini ndio wanaongoza kwa kuwa offended.
Nakumbuka miaka ile MMU ilikuwa ni sehemu ya kujifunza mengi sana kuhusu mahusiano, lakini siku hizi elimu inayopatikana sio kama zamani.
 
Tatizo humu ndani utoto mwingi siku hizi.wengine tunaamua kukaa kimya tu wakati mwingine, na ladha imepotea sana, kila mtu anajifanya mjuaji, wakikua wataacha
Wana jamvi, polen na hongeren kwa kazi za siku ya leo.

Wapendwa wangu naomba nichukue nafasi hii kuongelea hali ya hewa hapa MMU. Kwa wale ambao ni wagunduzi watagundua kwamba hali si shwari kabisa hapa MMU kwani kumekuwako na hali ya ugomvi kati ya dadaz na kakaz.

mada nyingi sana wanazoanzisha wakaka utakuta nizakuponda wadada, kuongelea tupu za kike, mara sijui ugogo mara sijui makwapa ya akina dada jambo ambalo linakera na kuudhi wale watu wasiopenda agomvi ama udhalilishaji. hali hii ilitufanya baadhi ya wanawake humu jamvini tuwe tunatoa koment za kushutumu mtoa mada kwa aina ya mada aloiweka hata hivyo akina dada walikaa mbali na kuuacha ukumbi utawaliwe na akina kaka. ingawa hali iliendelea hivi lkn akina dada tulikuwa wavumilivu na wenye nidham kwamba tusijibizane na akina kaka manake pia isingetusaidia jambo lolote.

Siku ya leo lara 1 aliamua naye ama kwa kujua ama kwa kutokujua kuweka mada akielezea juu ya kibamia, mada hii iliandikwa namna ambayo haikumdhalilisha mtu na wala haikuwa na lengo la kujibizana na akina kaka,cha ajabu kabisa katokea memba mwingine kaweka mada ya kuponda akina dada na istoshe akaja memba mwingine sijui ni yy mtoa mada ama ni mwingine mwenye ID mgiriki yeye alidiriki kabisa kutaja ID za membaz akidai eti ni magogo alimention lara 1, Madame B, Heaven on earth, mimi49 et al.

sasa jamani kweli mtu usomjua unamention kwenye mada as if uliwah kumwona ni gogo kweli mnatutendea haki nyie makaka?? na je jamvi hili ni uwanja wa mapambano kati ya dadaz na kakaz? kama ndivyo basi leo hii iwekwe wazi kwamba jamvi hili limebadilika sura.

Ladha ya MMMU kwa sasa hakuna kabisa. Siku nzima mtu unashinda humu hakuna mada zenye kuimarisha ama kujenga mahusiano zaid ya kubomoa kwa kuwasema wadada tuuu kujadili papushu zao tuuuuuu, mara makabila, mara kazi, mara kipato mara makundi jamani kweli hii ndiyo dhamira ya hili jukwaa??

Kama ndivyo basi leo hii tujue kwamba mmu ni uwanja wa kujadili maumbile na uumbaji wa Mungu na sio mahala pa kujengana kimahusiano na hivyo watu wasiingie ndani ya hili jukwaa kama hawapendi mada zenye kudhalilisha.

mada nyingine unabofya report abuse lkn sijui mods wanazidiwa na kazi wanachelewa hadi mada inajikuta iko pg 3 kuendelea inatia hasira sana kuona jukwaa linaharibika ama linaharibiwa na watu wachache.

Mods please sasa mkiona mada inayolenga kujadili wanwake ama wanaume isomen kwanza mkiona haina mashiko msiiweke ili watu wajifunze kuja na mada zenye mashiko.

Jioni njema
gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Binafsi hua sinaga msalie mtume na --------,ukizingua naku PM,ukiendelea nakuchana laivu,ila sikutukani,jandoni hatukufundishwa ivyo...

Mtoa mada nadhani angeanza kwanza kuchunguza kundi lake, niukweli usio pingika kua,nyuzi zenye maneno makili zilianza kutoka baada ya Zahra White kuweka povu lake, wanaume wajitahid kujitetea wee wapi.,ikabidi wanaume nao wakubaliane kuto kukubaliana ndo mana leo mleta mada kaamua kutafuta suruhu humu ndani, lara 1 naamini alitupia uzi ule baada ya kuona maneno kuhusu wanawake yanazidi...heshima ni kutu ya bure sana,ukimueshimu mwanaume nae atakueshimu tu.
 
Last edited by a moderator:
halafu ---- ww nakutafuta kwa ham sana chunga domo lako hanis ww unaonekana ka dume kumbe sio rizik.....ntakucastrate nguruwe pori ww

Shukrani mkuu! Ukipona KIBAMIA ntafute mkuu
 
sasa iko hebu fikiri, Leo hii likitengenezwa bamu la kuua wanawake wote kwa siku moja wooote wafe wabakizwe wanaume tuu unafikiri maisha yatakuwaje?? ni wazi kwamba yatakoma manake hayataweza kuendela toa siku ya kwanza bomu limelipuka mpaka siku ya mwisho mwanaume wa mwisho atakapokufa.

on the other hand likitengenezwa bomu liue wanaume kwa siku moja wooote waishe, wabakizwe wanwake tuu ni kwamba maisha baada ya 15 yrs yataanza tena kabla ya wanawake wengi kufa je unajua ni kwasababu gani yataanza upya??

izo ni imani potofu tu,alietuumba alifikilia mengi,ndo mana akaamua kumuumba adam kwanza mengne yakafuata.
 
Cc Zahra white ndo aliyeanzisha!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

huyo dada alikutana na wanaume fake,kosa alilofanya akawakusanya wanaume wote wenye age ile na kuwapa makavu,tena huku akitumia data fake {wanaume 3.} alipo ona pamechafuka hata kutia mguu akawa akanyagi ktk uzi ule,uzi ulikua unatembe na wachangiaji tu...kama matokeo yamesha tokea,chamuhimu kua na busara unapo anzisha uzi,jua kwanamna moja ama nyingne utawagusa watu,hivyo tumia polite language...utaeleweka tu,ila ukileta ukauzu watu watakuzingua tena sana,kumbuka humu kuna makundi ya watu wenye umri tofauti,mitazamo tofauti na misimamo pia.
 
Back
Top Bottom