hali ya hewa hapa MMU

hali ya hewa hapa MMU

Sidhani kama unayosema yana ukweli ndani yake Mshinga huyu mtu alonimention mimi simjui wala hanijui kwa namna yoyote ile kwa maana hio sina siri yoyote yakunianika na alinimention anyways,Ameweka katika judgement yake kwamba kwasababu sikubali kudhalilishwa basi nitakuwa mjuaji na nipo kama gogo kitandani!Aisee sitokaa mtu anitusi ninyamaze kimya NEVER EVER!
pole sana,mie hata hakuna nalojua,naangalia tu hapa.
 
Last edited by a moderator:
nilijua hapa ndipo utakapoishia lkn wafikiri kosa hurekebishwa kwa kosa??

Kosa halirekebishwi kwa kosa.
Kurekebisha kosa kwanza unatakiwa umdadavulie mkosaji ili akubali kosa, then umrekebishe, ukiona anakichwa ngumu unampa kama wasia unasepa! Sio kumtusi!!! However akiyataka mwenyewe matusi unampa kidogo then unampotezea!
...
Mi nahisi tuache KUGENERALIZE mambo tu!
 
anachosema gfsonwin ni kweli kabisa na hasa wadada wa kutoka kule Kaskazini ndio wanaongoza kwa kuwa offended.
Nakumbuka miaka ile MMU ilikuwa ni sehemu ya kujifunza mengi sana kuhusu mahusiano, lakini siku hizi elimu inayopatikana sio kama zamani.
 
Mi ndio maana sikuhisi naishia kusoma heading tu then nachapa zangu rapa... MMU sikuhizi majanga tu!
 
anachosema gfsonwin ni kweli kabisa na hasa wadada wa kutoka kule kaskazini ndio wanaongoza kwa kuwa offended.
Nakumbuka miaka ile mmu ilikuwa ni sehemu ya kujifunza mengi sana kuhusu mahusiano, lakini siku hizi elimu inayopatikana sio kama zamani.

bora useme wewe manake sasa imekuwa karaha
 
niliposoma ID yako nidhani lara 1 kabadili jina. 🙂 kumbe wewe ni tofauti
Bora umesema ukweli.wanaume wanapenda kwel ku2dhalilisha.MADA YA LARA NI NZUR SANA NA INAmAFUNDISHO SEMA WANAUME HAWAPEND KUAMBIWA UKWELI.
 
Last edited by a moderator:
hahah...
Inakuwaje maisha haya fake yanawafanya muwe so concerned kiasi hiki bandugu...

wala sio kwamba tuko concerned ila ina kera pale mwanamke anapojadiliwa tena kwa mabaya tuuu.
Kuna memba mmoja yy alinijibu wazi kwamba wanawake ni chombo cha starehe so kutujadili ni lazima ,manake ndio starehe yenu
 
kinachonishangaza ni pale ambapo pamoja na matusi yetu kwa jinsia kinzani ukifika wakati wa kuhitaji huduma yake hadi machozi yanatoka
 
Very interesting..
.. it's getting nasty once again..
.. yamalizeni, mliokwazwa jaribuni kusamehe maisha yaende..
 
wala sio kwamba tuko concerned ila ina kera pale mwanamke anapojadiliwa tena kwa mabaya tuuu.
Kuna memba mmoja yy alinijibu wazi kwamba wanawake ni chombo cha starehe so kutujadili ni lazima ,manake ndio starehe yenu

Mtu mpumbav muache na upumbavu wake sister....

Kuna wengine humu tulijaribu kukemea tabia za ushoga , bahati mbaya tukaishia kufunguliwa threads za kashfa...
Mbaya zaidi hawa ambao tunashinda nao humu hakuna hata mmoja aliyethubutu kuunga mkono kampeni hiyo wakawa wanaishia ama kuwagwaya au kuwachekeachekea hao mafirauni...
 
ukisema kuna lundo za mada zenye kujenga hapa mmu tutabishana hadi kesho manake kama huamini rudi nyuma miaka 2 ilopita soma mada zilizokuwa hapa mmu linganisha na sasa.

Sawa siwez kulazimisha hali ibaki kama zamani lkn watu wanapaswa kujifunza in a more positive way kuliko ilivyo hiv sasa.

ULISEMA.
"unashinda siku nzima hauoni mada ya kujenga"HII NI KWELI?si kweli,na hiki ndicho nilichokosoa na sikulinganisha na zamani.
Kwa maelezo yako hakuna hata mada moja ya kujenga kwa siku.
 
Back
Top Bottom