Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,355
kweli tupu inayoongelewa wapi kwenye makwapa ya wanwake ni meusi?? ama sijui wanwake waongeaji ni magogo kitandani?? godforbid.
kutetea wadada ni lazima manake adhalilishwapo mdada na mie pia nadhalilika na ndio mana hujawah nikuta namdhalilisha mkaka manake najua namdhalilisha kuanzia baba yangu mzazi hadi wanangu wakuwazaa
Hapa sasa umeongea! Coz hujaegemea popote!
...
Hii ni hatua moja mbele!
Jee wewe unahisi nini kifanyike ili kutatua hili?
Coz Wenyewe mnavyotusimanga hadi noma, mara vibamia (si tumeumbwa navyo!) mara wabahili, mara hatujui kugegeda (mnawapaisha wazee!) etc!