pepsin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 3,474
- 6,147
Kama rais wa nchi hii angekuwa mwislam, kwa hali ngumu ya uchumi kiasi ambayo siyo tu inapunguza sadaka na michango bali inachangia maisha duni ya waumini na raia basi leo na jana kungekuwa na waraka maalum ambao labda ungesomwa makanisani kote.
Lakini sasa ni kimya kwa kuwa huyu tunamjua. Jamani maaskofu kemeeni na pongezeni sawia. Nchi ni yetu sote na yeyote ni wetu sote.
Lakini sasa ni kimya kwa kuwa huyu tunamjua. Jamani maaskofu kemeeni na pongezeni sawia. Nchi ni yetu sote na yeyote ni wetu sote.