Hali kama hii, muda kama huu maaskofu na wachungaji pasingetosha!

Wanao endesha nchi ni Vatican inside tiss. Na Vatican ndio watoa matamko sasa wamtolee nani.
Labda watoe ya kupongeza.

Waislam wajanaujuzi mwingi Wa kuweka maisha yakawa ya furaha na pesa ikapatikana bila wananchi kulalamika. Refer raisi mzee ruksa, jk
Kweli mkuu hizi awamu mbili hatutazisahau maisha mzuri wala Hanna kutishana
 
Kama rais wa nchi hii angekuwa mwislam, kwa hali ngumu ya uchumi kiasi ambayo siyo tu inapunguza sadaka na michango bali inachangia maisha duni ya waumini na raia basi leo na jana kungekuwa na waraka maalum ambao labda ungesomwa makanisani kote.

Lakini sasa ni kimya kwa kuwa huyu tunamjua. Jamani maaskofu kemeeni na pongezeni sawia. Nchi ni yetu sote na yeyote ni wetu sote.

Wee fala, wakemee mema wapiga dili wapete!?kaa pembeni!!! Tupishe tupite, mtaelewa tu siku moja!!!!
 
Wee fala, wakemee mema wapiga dili wapete!?kaa pembeni!!! Tupishe tupite, mtaelewa tu siku moja!!!!

Samahani kwa lugha kali, lakini inafika mahala watu wanapojitoa ufahamu kwa makusudi, unawaunga mkono kwa makusudi!!!!!!!!
 
religious_intolerance_2__angelo_lopez.jpeg
 
Wanao endesha nchi ni Vatican inside tiss. Na Vatican ndio watoa matamko sasa wamtolee nani.
Labda watoe ya kupongeza.

Waislam wajanaujuzi mwingi Wa kuweka maisha yakawa ya furaha na pesa ikapatikana bila wananchi kulalamika. Refer raisi mzee ruksa, jk
Hahaha.....!

Huo ujuzi wanao kwasababu ni waislam?

Wameutoa huo ujuzi madrassat?
 
Mleta uzi anataka maaskofu waandike waraka, kwa hiyo wakristo kazi yao ni kuleta chuki kwenye jamii? pole sana mkuu
Hapana.Mleta mada wala hajalenga huko ndg.Analenga kuwapongezaa maaskofu kwa kutokutoa waraka.
 
Huo ndo uislam. Uislam ni dini ya amani na furaha. Hakuna fitna wala majungu

Uislam sio dini ya kulipiza visasi kama wakristo ukichua mfano Israel kwa palestina

cc : FaizaFoxy
We mtoto wa Bwn Mudy Acha Uongo !

JK na A.H Mwinyi walikuwa tu na asili ya Upole, Hekima na Uelewa kwasababu ya "ELIMU" na "EXPOSURE"

Kingine ni kwasababu hawakuwa na Udikteta hivyo walikubali USHAURI bila kupuuza.

Rais yeyote asiyepokea ushauri lazima atafail completely

Pia hakuna Dini inayolipiza kisasi tena ubaya kwa ubaya kama UISLAM, especcially kwa waislam koko waliostick kwenye elimu Akhera pekee.

HUO NDIO UKWELI.

Take it or leave it.
 
Huyu wakwetu...hata atufanye nn hatuwezi kuongea chochote.....
sisi wakiristo tunaongoza kwa unafki tanzania kwa kwel......
 
Nyarwadhnyarwath
unamuonea tu,hivi hata wewe moyo wako kweli haukusuti?,
waraka awamu iliyopita ilikuwa karibu kila jumapili,what happened?,

mbona kimya.

Zile kelele za katiba mpya za maskofu ,kumbe ilikuwa kisingizio tu,

fuata trend utaona
Each person must learn the right ways of putting across message(s) without sowing seed of discord in the community.
 
Back
Top Bottom