Gerasmus
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 400
- 341
kimya pia kina maana yake kwa mwenye kutafakari, aliyekosolewa kwa nyaraka leo hii anakumbukwa japo kwa yale mema yake, nao (viongozi wa dini) hawakuishia tu kumkosoa, walishikamana nae, walikula nae, walimtembelea, aliwatembelea, walikuwa pamoja kwa umoja bila kujali tofauti zao za kidini, msidhani kutokumsema mtu wala kumkosoa ni kumpenda, la hasha....!!! hata kumsusia pia ni kumkosoa.