Hali kama hii, muda kama huu maaskofu na wachungaji pasingetosha!

pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,465
6,109
Kama rais wa nchi hii angekuwa mwislam, kwa hali ngumu ya uchumi kiasi ambayo siyo tu inapunguza sadaka na michango bali inachangia maisha duni ya waumini na raia basi leo na jana kungekuwa na waraka maalum ambao labda ungesomwa makanisani kote.

Lakini sasa ni kimya kwa kuwa huyu tunamjua. Jamani maaskofu kemeeni na pongezeni sawia. Nchi ni yetu sote na yeyote ni wetu sote.
 
Una hoja ya msingi lakini umeileta katika hali ya kuwaacha mashehe kuonekana wadhaifu. Juzi ilikuwa ni maulid, mbona hukuwaambia masheikh waseme? Hao masheikh wao wataongea lini au hawajui mambo mengi kiasi hawana la kuongea? Kimsingi mada yako ina hisia za kidini mno hata kama ni mada yenye hoja fikirishi.
 
Kazi mnayo.

Kama rais wa nchi hii angekuwa mwislam, kwa hali ngumu ya uchumi kiasi ambayo siyo tu inapunguza sadaka na michango bali inachangia maisha duni ya waumini na raia basi leo na jana kungekuwa na waraka maalum ambao labda ungesomwa makanisani kote.

Lakini sasa ni kimya kwa kuwa huyu tunamjua. Jamani maaskofu kemeeni na pongezeni sawia. Nchi ni yetu sote na yeyote ni wetu sote.
 
Una hoja ya msingi lakini umeileta katika hali ya kuwaacha mashehe kuonekana wadhaifu. Juzi ilikuwa ni maulid, mbona hukuwaambia masheikh waseme? Hao masheikh wao wataongea lini au hawajui mambi mengi kiasi hawana la kuongea? Kimsingi mada yako ina hisia za kidini mno hata kama ni mada yenye hoja fikirishi.
Udini unamsumbua ndugu yetu.
 
Basi tuwapongeze maaskofu kwa umoja wao.
Enzi za JK maaskofu walikuwa wakali kwa kuwa mtu akipiga dili anakwenda kanisani kwa padri anaungama kama amefanya dhambi ya kuiba kontena lakini padri akiangalia mapato ya sadaka yako constant hayapandi basi askofu anakasirika
 
Back
Top Bottom